Niponipo sijui woga, uzembe au ni nini? Nishaurini kwenye hili nisije haribikiwa

Niponipo sijui woga, uzembe au ni nini? Nishaurini kwenye hili nisije haribikiwa

Zombie Sikutaji Humu Eeh

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2024
Posts
228
Reaction score
667
Hii ndio siri yangu ya mapenzi nimo JF kitambo ila nimeamua kuja kiufiche ili nipate kuwa huru

Mimi ni kijana(Me) eary 20 na sijafikisha 22 bado, Sijawahi Sex kabisa hili ni moja ya jambo ambalo linanitatiza sana why this to me, unakuta kijana wa miaka 17 anapiga story jinsi anavyo tembeza bakora unabaki kujiwazia mimi sijui kesho yangu lini?

Nimewahi kuwa na mademu kadhaa ila ndio hivyo sanasana kiss na wengi tulidumu mwez kwa kutoonana au kupotezeana hawazidi 3

Mimi na kutongoza paka na panya jamani sometimes watu wananiambia handsome ila hawajui ninachopitia kwa kujiona loser hasa ifikapo mwisho wa mwaka na kuona mwaka mzima sijafanya kitu ilihali mwisho wa mwaka uliopita nilisema nitafanya kitu na sasa ni mwisho mwingine wa mwaka ambapo nitaweka tena ahadi ambayo sidhani kama nitaitimiza

Sasa nipo single na sijui nitampata wapi mpenzi kwa muda huu (muda mwingi baada ya mihangaiko nipo gheto nimepoa( ndio maisha niliyofunzwa)

Last hili tatizo ni kubwa kwangu mimi hua najichua sio sana ila hua napiga nyeto sometimes hua sifeel raha kabisa ya punyeto like najikuna ila napigaga sababu tu sometime unataka ulale unono

Shida ni kuwa nimeanza kuwa na kitabia unusual ya kupenda mashemale yani hata nikipiga hua natamani mwanamke ninaempigia aacti as male na mimi as female yani zile style za yeye juu na kupish japo mimi ndio nimemwingilia

Pia kwa mashemale sio waniingilie bali mimi ndio niwaingilie (nimeona kwenye video) SIJAWAHI KUTAMANI KUWA SHOGA AU KUFANYA MAPENZI NA MWANAUME MWENZANGU

Pia hua nahisi kuwa nina moyo mdogo na siwezi himili mahusiano na kuvunjana moyo (kuna muda nakuwa na depression) utakavyoniona usoni si moyoni

Hebu nishuri na kuniambia japo labda neno lako litanifungua macho

Natamanigi niwe single milele ila sio kweli sababu kuna muda familia itataka kuona watoto, mke na pia nipate mtu wa kupiga nae story
 
Hii ndio siri yangu ya mapenzi nimo jf kitambo ila nimeamua kuja kiufiche ili nipate kuwa huru

Mimi ni kijana(Me) eary 20 na sijafikisha 22 bado, Sijawahi Sex kabisa hili ni moja ya jambo ambalo linanitatiza sana why this to me, unakuta kijana wa miaka 17 anapiga story jinsi anavyo tembeza bakora unabaki kujiwazia mimi sijui kesho yangu lini...
Dogo jinga hili.
 
Mimi nina 26 na sijawahi kugomnga demu. Japo nami inaniumiza kiasi ila sio stress za hivo kiasi mpka nikose raha hapana.
Sikia kijana kufanya ngono sana sio mashindano na wala sio ujanja sana
Ufeel shame? Wanawake ndio watunze bikra sio sisi
Hata hivyo umenifanya nijisikie bwega kwenye hii nchi si peke yangu
 
Back
Top Bottom