Zombie Sikutaji Humu Eeh
JF-Expert Member
- Jul 2, 2024
- 228
- 667
- Thread starter
- #41
Kazi kubwa ni kupata huyo demu au nijipendekeze tena kwa X wangu sina options yaniHiyo ni stage tu utaivuka. Ila kuna kuivuka salama au kuivuka ukiwa na alama. Kwanza acha kabisa kuangalia porn, then uache nyeto. Baada ya hapo tafuta dem ufanye juu chini upige na ujitahidi kudumu nae kwenye mahusiano.
Kutokana na ukomavu wa tabia yako, unaweza ukajikuta haufeel raha ya kufanya kua na mwanamke na kufanya mapenzi ila huo utakua mwanzo tu, jitahidi kuishi hivyo na maisha yako yatarejea