Niponipo sijui woga, uzembe au ni nini? Nishaurini kwenye hili nisije haribikiwa

Mwanzo sikuona tatizo.

Ukasema unapiga nyeto nikasema hili bado jembe. Kijana wa umri wako hata akiona kitundu cha chupa ya soda anadinda.

Uliposema unatamani shemales hapo ukaniacha. I'm not judging you ila kijana tafuta pisi haraka sana.
 
Hii ndio siri yangu ya mapenzi nimo jf kitambo ila nimeamua kuja kiufiche ili nipate kuwa huru

Mimi ni kijana(Me) eary 20 na sijafikisha 22 bado, Sijawahi Sex kabisa hili ni moja ya jambo ambalo linanitatiza sana why this to me, unakuta kijana wa miaka 17 anapiga story jinsi anavyo tembeza bakora unabaki kujiwazia mimi sijui kesho yangu lini?

Nimewahi kuwa na mademu kadhaa ila ndio hivyo sanasana kiss na wengi tulidumu mwez kwa kutoonana au kupotezeana hawazidi 3

Mimi na kutongoza paka na panya jamani sometimes watu wananiambia handsome ila hawajui ninachopitia kwa kujiona loser hasa ifikapo mwisho wa mwaka na kuona mwaka mzima sijafanya kitu ilihali mwisho wa mwaka uliopita nilisema nitafanya kitu na sasa ni mwisho mwingine wa mwaka ambapo nitaweka tena ahadi ambayo sidhani kama nitaitimiza

Sasa nipo single na sijui nitampata wapi mpenzi kwa muda huu (muda mwingi baada ya mihangaiko nipo gheto nimepoa( ndio maisha niliyofunzwa)

Last hili tatizo ni kubwa kwangu mimi hua najichua sio sana ila hua napiga nyeto sometimes hua sifeel raha kabisa ya punyeto like najikuna ila napigaga sababu tu sometime unataka ulale unono

Shida ni kuwa nimeanza kuwa na kitabia unusual ya kupenda mashemale yani hata nikipiga hua natamani mwanamke ninaempigia aacti as male na mimi as female yani zile style za yeye juu na kupish japo mimi ndio nimemwingilia

Pia kwa mashemale sio waniingilie bali mimi ndio niwaingilie (nimeona kwenye video) SIJAWAHI KUTAMANI KUWA SHOGA AU KUFANYA MAPENZI NA MWANAUME MWENZANGU

Pia hua nahisi kuwa nina moyo mdogo na siwezi himili mahusiano na kuvunjana moyo (kuna muda nakuwa na depression) utakavyoniona usoni si moyoni

Hebu nishuri na kuniambia japo labda neno lako litanifungua macho

Natamanigi niwe single milele ila sio kweli sababu kuna muda familia itataka kuona watoto, mke na pia nipate mtu wa kupiga nae story
".....Shida ni kuwa nimeanza kuwa na kitabia unusual ya kupenda mashemale yani hata nikipiga hua natamani mwanamke ninaempigia aacti as male na mimi as female yani zile style za yeye juu na kupish japo mimi ndio nimemwingilia....."

☝️☝️ huo ndiyo ushoga wenyewe sasa maana shemale ni shoga aliyeamua kuwa na muonekano wa kike bila ya kubadili jinsia (gender reassignment surgery) tofauti na intersex yule anayezaliwa na jinsia zote mbili .

Kingine unatamanj mwanamke unayempigia puli aact kama mwanaume na wewe kama mwanamke hii si ishara nzuri kabisa soon ukipata bazazi anakufumua rinda Mungu akuepushie mbali.

UShauri wangu TAFUTA MKE OA achana na habari ya kutaka datings zisizo na maana .
 
Naona mnamlazimisha mwana awe na demu, Nyie mmngekuwa mademu mngeweza kuwa na mtu ambaye here and there alitamani kuwa submissive?

On why mahusiano yanasumbua sana, ni kwasababu ya uwepo wa watu ambao they can’t act their gender , literally in the closet!

We huogopi?
 
Dah Eti nyie mnge kuwa mademu, hata ninge kuwa demu nisinge kuwa naji chubua.
Ninge chubua Sana ukuta wa atm, ili pesa kuzi chukua 😃
 
Hii ndio siri yangu ya mapenzi nimo jf kitambo ila nimeamua kuja kiufiche ili nipate kuwa huru

Mimi ni kijana(Me) eary 20 na sijafikisha 22 bado, Sijawahi Sex kabisa hili ni moja ya jambo ambalo linanitatiza sana why this to me, unakuta kijana wa miaka 17 anapiga story jinsi anavyo tembeza bakora unabaki kujiwazia mimi sijui kesho yangu lini?

Nimewahi kuwa na mademu kadhaa ila ndio hivyo sanasana kiss na wengi tulidumu mwez kwa kutoonana au kupotezeana hawazidi 3

Mimi na kutongoza paka na panya jamani sometimes watu wananiambia handsome ila hawajui ninachopitia kwa kujiona loser hasa ifikapo mwisho wa mwaka na kuona mwaka mzima sijafanya kitu ilihali mwisho wa mwaka uliopita nilisema nitafanya kitu na sasa ni mwisho mwingine wa mwaka ambapo nitaweka tena ahadi ambayo sidhani kama nitaitimiza

Sasa nipo single na sijui nitampata wapi mpenzi kwa muda huu (muda mwingi baada ya mihangaiko nipo gheto nimepoa( ndio maisha niliyofunzwa)

Last hili tatizo ni kubwa kwangu mimi hua najichua sio sana ila hua napiga nyeto sometimes hua sifeel raha kabisa ya punyeto like najikuna ila napigaga sababu tu sometime unataka ulale unono

Shida ni kuwa nimeanza kuwa na kitabia unusual ya kupenda mashemale yani hata nikipiga hua natamani mwanamke ninaempigia aacti as male na mimi as female yani zile style za yeye juu na kupish japo mimi ndio nimemwingilia

Pia kwa mashemale sio waniingilie bali mimi ndio niwaingilie (nimeona kwenye video) SIJAWAHI KUTAMANI KUWA SHOGA AU KUFANYA MAPENZI NA MWANAUME MWENZANGU

Pia hua nahisi kuwa nina moyo mdogo na siwezi himili mahusiano na kuvunjana moyo (kuna muda nakuwa na depression) utakavyoniona usoni si moyoni

Hebu nishuri na kuniambia japo labda neno lako litanifungua macho

Natamanigi niwe single milele ila sio kweli sababu kuna muda familia itataka kuona watoto, mke na pia nipate mtu wa kupiga nae story
usipoangalia utakua zombie kweli kama jina lako ulivyojiandika
 
mimi hua najichua sio sana ila hua napiga nyeto sometimes hua sifeel raha kabisa ya punyeto like najikuna ila napigaga sababu tu sometime unataka ulale unono

Shida ni kuwa nimeanza kuwa na kitabia unusual ya kupenda mashemale
Kwanza kabisa acha nyeto, wewe sio kwamba huwezi kutongoza ni vile haujiamini. Na hujiamini kwa sababu ya madhara ya nyeto. Hata uwe unafanya kazi masaa yote lazima kuna kuchangamana na watu. Hao unaochangamana nao tafuta wako.

Huko kupenda mashemale ni kutokana na addiction ya porn videos, kuwa makini, shtuka kabla jua halijazama acha nyeto na acha kabisa tabia ya kuangalia porn videos kama kweli unataka mabadiliko.
 
Ndo huyu mwenye uzi nini ulimzungumzia kwamba hadi abustiwe? Maana wanawake mna siri nyingi sana waweza kukuta huyu author wa uzi unamjua Lamomy
Huyo mdogo wangu hajawahi muoga wa wanawake “Anatunza uvulana wake” 😂😂😂
 
Back
Top Bottom