Niponipo sijui woga, uzembe au ni nini? Nishaurini kwenye hili nisije haribikiwa

Niponipo sijui woga, uzembe au ni nini? Nishaurini kwenye hili nisije haribikiwa

Siwezi kununua malaya mkuu, Never nasikia ni nuksi hapa nilipo ninakijibahati cha kula milo mitatu then niiharibu kusa tako 3 kweli
Kwaoyo unataka kusaidiwaje sasa? utongozewe demu au?.. kwa ulichokiandika wewe hapa, nenda pale riverside usiku na elfu 5 yako ukapewe huduma., taratibu utawazoea wanawake
 
Hiyo tabia ya kutamani Shemale ndo tabia za awali za kuleft group sahivi ni kama unakusanya nguo zako ili utuache.

Kuhusiana na masuala ya mahusiano usiwe na haraka, binafsi hata mimi mahusiano yangu ya kwanza nilianza nikiwa na miaka 22 tena yenyewe hadi mchumba mwenyewe ndo alianza kunichokoza chokoza ndo mahusiano yakaanza alafu sahivi nimetingishia tena neutral.

Kwahiyo tulia focus na mambo yako ya msingi hakuna tuzo ya kuzini sana sana utapata gono ukatwe chululuu
 
Kwa nini ujiite Zombie wewe Zombie?
Ninapenda jinsi marioo anavyomtaja s2kiz kwenye nyimbo zake
Sio matusi wala....ukitaka solution ya tatizo lazma ujue chanzo, kama ambavyo ukienda hospital lazma upimwe kwanza.

Si unaona option nilizokuuliza upo hapo hapo.
Of course upo kwenye point
Exactly.

Jamaa ni umeme wa Sola,moto mdogo.

Amejitetea sana,ila Kuna mstari ukiuchora unagundua moto haufiki kwenye vifaa vya umeme,Sola Haina nguvu inaelekea kukata moto.
😶‍🌫️
 
Hiyo tabia ya kutamani Shemale ndo tabia za awali za kuleft group sahivi ni kama unakusanya nguo zako ili utuache.

Kuhusiana na masuala ya mahusiano usiwe na haraka, binafsi hata mimi mahusiano yangu ya kwanza nilianza nikiwa na miaka 22 tena yenyewe hadi mchumba mwenyewe ndo alianza kunichokoza chokoza ndo mahusiano yakaanza alafu sahivi nimetingishia tena neutral.

Kwahiyo tulia focus na mambo yako ya msingi hakuna tuzo ya kuzini sana sana utapata gono ukatwe chululuu
Mimi nakuambie kama mtume basi wewe ni Mwamposa nitaufanyia kazi
 
Back
Top Bottom