Nipsey Hussle: Nyota ya Afrika Mashariki kutoka katikati ya magenge ya kihalifu na kuangaza katika sanaa ya Muziki wa kufoka foka (Hip Hop)

Ile video yake wakati amedondoka chini amekula shaba jamaa akainuka akamwambia "you shot me, i'm good" jamaa akarudi akampiga shaba zingine ndo akadanja jamaa akijua jeuri
Dah,hapo ndo inasikitisha zaid kiongoz...daaaaaah..hawa jamaa,sjui wanapigaga ishu za drugs wanageukana ,kama ile muv ya 50
 
Dah,hapo ndo inasikitisha zaid kiongoz...daaaaaah..hawa jamaa,sjui wanapigaga ishu za drugs wanageukana ,kama ile muv ya 50
sasa kamuua halafu ndio anapata hizo pesa au!!!

akili za ngozi nyeusi zinan masizi siku zote,kama yule aliyemuua yule dogo mwingine wa kuitwa xtentation.
 
Dah,hapo ndo inasikitisha zaid kiongoz...daaaaaah..hawa jamaa,sjui wanapigaga ishu za drugs wanageukana ,kama ile muv ya 50
Huyi jamaa alikua na harakati za kuibadilisha jamii aliyokulia alikua akishirikiana na polisi kwenye maswala ya jamii sasa sijui shida ilikua ni wapi
 
Hatar sana huyu jamaa,ukisikiliza hzo track ndo utamwelewa zaid...

Ila tatzo nae alikua anashikashika pu.mbu za watu..alianza kutoa siri za ugonjwa wa HIV kwamba ulitengenezwaje na dawa yake iko wap..mara illuminati etc
Kwamba illuminat imefanyaje?
 
Naikubal sana hiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kabisa...black on black crimes...wivu mbaya sana
sasa kamuua halafu ndio anapata hizo pesa au!!!

akili za ngozi nyeusi zinan masizi siku zote,kama yule aliyemuua yule dogo mwingine wa kuitwa xtentation.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…