fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
Mi mmakonde mzee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatar sana huyu jamaa,ukisikiliza hzo track ndo utamwelewa zaid...Huyo jamaa me nimemfahamu baada ya kufa.
Hahah,sio mbayaMi mmakonde mzee
Ingia youtube mkaliNikajua nitakuta video ikionesha alivyouawa!
Mwambie aje tumuenz mnyamwez nipseyNgoja aje mwanangu member Wyatt mzee Campton akushishie nondo
Ova
Dah,hapo ndo inasikitisha zaid kiongoz...daaaaaah..hawa jamaa,sjui wanapigaga ishu za drugs wanageukana ,kama ile muv ya 50Ile video yake wakati amedondoka chini amekula shaba jamaa akainuka akamwambia "you shot me, i'm good" jamaa akarudi akampiga shaba zingine ndo akadanja jamaa akijua jeuri
sasa kamuua halafu ndio anapata hizo pesa au!!!Dah,hapo ndo inasikitisha zaid kiongoz...daaaaaah..hawa jamaa,sjui wanapigaga ishu za drugs wanageukana ,kama ile muv ya 50
Huyi jamaa alikua na harakati za kuibadilisha jamii aliyokulia alikua akishirikiana na polisi kwenye maswala ya jamii sasa sijui shida ilikua ni wapiDah,hapo ndo inasikitisha zaid kiongoz...daaaaaah..hawa jamaa,sjui wanapigaga ishu za drugs wanageukana ,kama ile muv ya 50
Kwamba illuminat imefanyaje?Hatar sana huyu jamaa,ukisikiliza hzo track ndo utamwelewa zaid...
Ila tatzo nae alikua anashikashika pu.mbu za watu..alianza kutoa siri za ugonjwa wa HIV kwamba ulitengenezwaje na dawa yake iko wap..mara illuminati etc
Naikubal sana hiiiAisee,unajua ngoz nyeus buana,..sjui tunamatatzo gan...jamaa kauliwa na mweus mwenzie.simple as that..huyu nipsey ni rapper,pia alisaidia jamii sana
I didnt know this nigga was thaat good till i watched n litsened to these 3 songs
1.higher
2.forever
3.last time i checked
Why did u kill this nigga..dah...
Uzi huu ni kwa wale wanyamwezi tuu
Uzi tayar
Dah.mnyamwez nipsey..alikua anangoa dem mkali sana
sasa kamuua halafu ndio anapata hizo pesa au!!!
akili za ngozi nyeusi zinan masizi siku zote,kama yule aliyemuua yule dogo mwingine wa kuitwa xtentation.
Duh ipo hivyo siyo ka video plz au link