Yule Mwanaume? BlacSam ni kaka akeMdogo wake nipsey kwenye mazish alivyotoa speech,ilitia huruma sana..mi ilinitia huruma ile video ya cctv ailvyoshootiwa,akasema nigga u shot me,u got me...jamaa likarud likammalizia
Makundi/GangsBlack on black crimes killed this nigga..i guess thiz dudes do involve emselves in drug dealin n gangs...its where they get some cash for studio n stuff...it always comes back to....
Ndo mambo hayo sasa....ila nipsey issue ina mambo meng ya ajab...mfano,yule dogo...suspect.....mwanasheria anaemsimamia ni the best in town..ndo alikua kwenye kesi ya OJ simpson..sasa watu wanajiuliza ..huyu dogo anawezaje kutetewa na mwanasheria mkubwa na wa gharama namna hyo,nan yuko behind all that?Makundi/Gangs
Nip was a member of Rolling Crips km sikosei
Nipsey alikua affiliated na crisp gang pamoja na huyo dogo aliomuua..inasemekana kuna siku washkji walikua wametulia kijiweni wanasongesha siku Nipsey akamtuhumu dogo kuwa ni snitch mbele za watu..unajua in a Gangster life kuitwa snitch ni kitu kimoja kibaya sana..so dogo akaona the only way to revenge to Nipsey ni kumuua tu maana hata wadau wengine gang member wake walishaanza kumtenga baada ya kuitwa snitchNdo mambo hayo sasa....ila nipsey issue ina mambo meng ya ajab...mfano,yule dogo...suspect.....mwanasheria anaemsimamia ni the best in town..ndo alikua kwenye kesi ya OJ simpson..sasa watu wanajiuliza ..huyu dogo anawezaje kutetewa na mwanasheria mkubwa na wa gharama namna hyo,nan yuko behind all that?
Hatar sana huyu jamaa,ukisikiliza hzo track ndo utamwelewa zaid...
Ila tatzo nae alikua anashikashika pu.mbu za watu..alianza kutoa siri za ugonjwa wa HIV kwamba ulitengenezwaje na dawa yake iko wap..mara illuminati etc
Mdogo wake nipsey kwenye mazish alivyotoa speech,ilitia huruma sana..mi ilinitia huruma ile video ya cctv ailvyoshootiwa,akasema nigga u shot me,u got me...jamaa likarud likammalizia
Makundi/Gangs
Nip was a member of Rolling Crips km sikosei
They all got shotVipi kuhusu Bob Marley,2pac,big & tindu lissu
Hakika alivyo andika kichwa cha habari ndivyo ilivyo tarajiwaNikajua nitakuta video ikionesha alivyouawa!
vipi Trump aliyemuua afisa jeshi wa Iran?sasa kamuua halafu ndio anapata hizo pesa au!!!
akili za ngozi nyeusi zinan masizi siku zote,kama yule aliyemuua yule dogo mwingine wa kuitwa xtentation.
alikuwa nani huyo?Mbongo wa kwanza kwenda marekan alikua mnyamwezi
big aliwahi kuua?ukiuwa kwa upanga utakufa kwa upanga…………..rejea yaliyo mkuta big popa
mzee hiyo CCTV inatoa sauti?Mdogo wake nipsey kwenye mazish alivyotoa speech,ilitia huruma sana..mi ilinitia huruma ile video ya cctv ailvyoshootiwa,akasema nigga u shot me,u got me...jamaa likarud likammalizia
can you mention those agendas?You don't speak out all you see, sometimes it's better to be quite and save yourself.
Refer to Michael Jackson, Tupac etc. The world ruled by Elites doesn't tolerate the Truth from coming out, Nipssey bite more than he can chew, RIP man.
Talking of the murder who shot Nipssey if you haven't realized of MK UTRA control or Secret Recruit Deals and Agendas then you have a looong way to learn.
Just ask yourself one question that Why all good niggars who begin speaking out the truth goymt shot by their fellow niggars not whites??!