Nipsey Hussle: Nyota ya Afrika Mashariki kutoka katikati ya magenge ya kihalifu na kuangaza katika sanaa ya Muziki wa kufoka foka (Hip Hop)

Nipsey Hussle: Nyota ya Afrika Mashariki kutoka katikati ya magenge ya kihalifu na kuangaza katika sanaa ya Muziki wa kufoka foka (Hip Hop)

Mdogo wake nipsey kwenye mazish alivyotoa speech,ilitia huruma sana..mi ilinitia huruma ile video ya cctv ailvyoshootiwa,akasema nigga u shot me,u got me...jamaa likarud likammalizia
Yule Mwanaume? BlacSam ni kaka ake
 
Black on black crimes killed this nigga..i guess thiz dudes do involve emselves in drug dealin n gangs...its where they get some cash for studio n stuff...it always comes back to....
Makundi/Gangs
Nip was a member of Rolling Crips km sikosei
 
Makundi/Gangs
Nip was a member of Rolling Crips km sikosei
Ndo mambo hayo sasa....ila nipsey issue ina mambo meng ya ajab...mfano,yule dogo...suspect.....mwanasheria anaemsimamia ni the best in town..ndo alikua kwenye kesi ya OJ simpson..sasa watu wanajiuliza ..huyu dogo anawezaje kutetewa na mwanasheria mkubwa na wa gharama namna hyo,nan yuko behind all that?
 
You don't speak out all you see, sometimes it's better to be quite and save yourself.
Refer to Michael Jackson, Tupac etc. The world ruled by Elites doesn't tolerate the Truth from coming out, Nipssey bite more than he can chew, RIP man.
Talking of the murder who shot Nipssey if you haven't realized of MK UTRA control or Secret Recruit Deals and Agendas then you have a looong way to learn.
Just ask yourself one question that Why all good niggars who begin speaking out the truth goymt shot by their fellow niggars not whites??!
 
Ain't nothin new, Jadakiss ft Neyo & Nipsey Hussle, mara ya kwanza nimemsikia humo jamaa, hatari tupu. M.A.P Nip
 
Ndo mambo hayo sasa....ila nipsey issue ina mambo meng ya ajab...mfano,yule dogo...suspect.....mwanasheria anaemsimamia ni the best in town..ndo alikua kwenye kesi ya OJ simpson..sasa watu wanajiuliza ..huyu dogo anawezaje kutetewa na mwanasheria mkubwa na wa gharama namna hyo,nan yuko behind all that?
Nipsey alikua affiliated na crisp gang pamoja na huyo dogo aliomuua..inasemekana kuna siku washkji walikua wametulia kijiweni wanasongesha siku Nipsey akamtuhumu dogo kuwa ni snitch mbele za watu..unajua in a Gangster life kuitwa snitch ni kitu kimoja kibaya sana..so dogo akaona the only way to revenge to Nipsey ni kumuua tu maana hata wadau wengine gang member wake walishaanza kumtenga baada ya kuitwa snitch
 
Hatar sana huyu jamaa,ukisikiliza hzo track ndo utamwelewa zaid...

Ila tatzo nae alikua anashikashika pu.mbu za watu..alianza kutoa siri za ugonjwa wa HIV kwamba ulitengenezwaje na dawa yake iko wap..mara illuminati etc

Sa mbona unatukana au ndio unyamwezi wenyewe huo?
 
Nilimfahamu Nipsey toka 2009 ila sikuwa namfuatilia sana. Alipokufa ndio nikagundua kumbe jamaa alikuwa Social Icon kwa movement zake za mtaa kuondoa mindset za kishamba za mabifu ili vijana wawe civilized na kufanya maisha huku wakidumisha upendo.

Best Tracks and features:
-Overtime
-Fountain of youth
-Life long (hii video ilishutiwa dukan kwake)
-Ocean Views
-Right hand to God
-Last time dat i checked
-Status Symbol 3
 
Nipsey alikuwa mdogo, Sam ni kakaake ndio alitoa ile speech. Very emotional speech amna kitu kinauma kama kufiwa na mdogo wako.
Mdogo wake nipsey kwenye mazish alivyotoa speech,ilitia huruma sana..mi ilinitia huruma ile video ya cctv ailvyoshootiwa,akasema nigga u shot me,u got me...jamaa likarud likammalizia
 
Hivi yule mke wake itakuwaje??

Wamarekani weusi wanauwana kama kuku vile..ishu minor tu,bomba zinatembezwa
 
You don't speak out all you see, sometimes it's better to be quite and save yourself.
Refer to Michael Jackson, Tupac etc. The world ruled by Elites doesn't tolerate the Truth from coming out, Nipssey bite more than he can chew, RIP man.
Talking of the murder who shot Nipssey if you haven't realized of MK UTRA control or Secret Recruit Deals and Agendas then you have a looong way to learn.
Just ask yourself one question that Why all good niggars who begin speaking out the truth goymt shot by their fellow niggars not whites??!
can you mention those agendas?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom