Nipsey Hussle: Nyota ya Afrika Mashariki kutoka katikati ya magenge ya kihalifu na kuangaza katika sanaa ya Muziki wa kufoka foka (Hip Hop)

Nipsey Hussle: Nyota ya Afrika Mashariki kutoka katikati ya magenge ya kihalifu na kuangaza katika sanaa ya Muziki wa kufoka foka (Hip Hop)

Huyi jamaa alikua na harakati za kuibadilisha jamii aliyokulia alikua akishirikiana na polisi kwenye maswala ya jamii sasa sijui shida ilikua ni wapi

kifo chake kinausishwa hasa na documentary ( za kutestify) alizokua anatoa juu ya Dr. Sebi, yule wa Honduras

( em zama Google kuhusu uyu dk. na issue za cure on HIV-AIDS , tension kati ya Dk. na watengeneza njugu aka ARV )

kifo ichi kinafananishwa na kile cha Left Eye ( Lisa Lopes ) wa TLC

Wote hao walikua vinara ku testify kazi za uyo Dk.
 
kuhusu kuwekeza na kuachana na utamaduni wa magenge ya kihalifu yanayoleta mauaji yasiyo na tija

Ye mwenyewe katika mienendo yake alihusika vipi kuendeleza "utamaduni wa magenge ya kihalifu yanayoleta mauaji na yasiyo na tija"?
 
Ndo mambo hayo sasa....ila nipsey issue ina mambo meng ya ajab...mfano,yule dogo...suspect.....mwanasheria anaemsimamia ni the best in town..ndo alikua kwenye kesi ya OJ simpson..sasa watu wanajiuliza ..huyu dogo anawezaje kutetewa na mwanasheria mkubwa na wa gharama namna hyo,nan yuko behind all that?
hivi kesi ya Simpson imeishaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee,unajua ngoz nyeus buana,..sjui tunamatatzo gan...jamaa kauliwa na mweus mwenzie.simple as that..huyu nipsey ni rapper,pia alisaidia jamii sana

I didnt know this nigga was thaat good till i watched n litsened to these 3 songs
1.higher
2.forever
3.last time i checked

Why did u kill this nigga..dah...
Uzi huu ni kwa wale wanyamwezi tuu

Uzi tayar
Alafu tukiitwa Nyani tunalalamika
 
Back
Top Bottom