Nipunguze nini kwenye gari yangu ibaki na uzito wa kg 600? Hadi hapa nimeshanyofoa spea tairi!

Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2017
Posts
3,373
Reaction score
6,795
Wadau, kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Ninajitahidi kupunguza uzito wa gari yangu toka 960kg angalau ifike 600kg!

Nia na madhumuni ya kutaka kupunguza uzito, kwanza ni kuiwezesha gari iwe nyepesi ili niweze kuendelea kuruka kwenye matuta kwa urahisi.
Pili, ni kupunguza kiwango cha wese ambacho gari inakula.

Ninapofika kwenye matuta, huwa sipendi jinsi gari inavyodunda, sasa kuhakikisha hilo nimeshaanza na kung’ofoa spare tairi kitu ambacho kimeniwezesha niweze kupunguza uzito, kwa takribani 30kg.

Sasa baada ya hapa sioni tena kitu kingine cha kung’ofoa. Sijui ning’ofoe difu!, makochi ya nyuma au?

Embu manaofahamu magari naombeni ushauri wenu. Nitazitoa wapi hizi kg mia tatu ili gari ibaki na uzito wa kg 600?
 
Seat za nyuma+seat za pembeni ya dereva+Ma'bampa'+weka size ya tyre recommended by watengenezaji wa gari+usitembelee full tank wkt huna kazi nayo.(inaongeza weight ya gari)

By the way Hivi ID ya @ NICHUMU @NIBEBIKE ni the same same na ID ya @ MIKOPO @ CHECHEFU au?

Maana hi thread ilianzishwa na Huyo @Nichumu @Nibebije naona modes wakafanya kuunga id's.
 
Wadau, kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Ninajitahidi kupunguza uzito wa gari yangu toka 960kg angalau ifike 600kg!

Nia na madhumuni ya kutaka kupunguza uzito, kwanza ni kuiwezesha gari iwe nyepesi ili niweze kuendelea kuruka kwenye matuta kwa urahisi.
Pili, ni kupunguza kiwango cha wese ambacho gari inakula.

Ninapofika kwenye matuta, huwa sipendi jinsi gari inavyodunda, sasa kuhakikisha hilo nimeshaanza na kung’ofoa spare tairi kitu ambacho kimeniwezesha niweze kupunguza uzito, kwa takribani 30kg.

Sasa baada ya hapa sioni tena kitu kingine cha kung’ofoa. Sijui ning’ofoe difu!, makochi ya nyuma au?

Embu manaofahamu magari naombeni ushauri wenu. Nitazitoa wapi hizi kg mia tatu ili gari ibaki na uzito wa kg 600?
Ndugu mleta mada nimepitia uzi wako kwa makini na nimeelewa vizuri shida ulio nayo

Katika gari yoyote ile kitu kinachoongeza uzito kwa kiasi kikubwa kuliko vyote ni injini, hivyo tafuta fundi mwenye uzoefu na ufunguaji wa injini atoe injini yote kwenye gari.

Hapo Utakua umepunguza zaidi ya kilo 500 kwenye gari lako na tatizo lako litakua limeisha

Kila rakheri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza jipunguze mwenyewe kwani una uzito wa kg 80+ kisha usiweke mafuta na maji halafu iondoe chasis na body yote pamoja na marimu yote na hapo uzito utakuwa umepungua kwa kg 600! Walionaje wazo?
 
Injini na gia boksi ndo uzito ulipo, toa.
 
Wadau, kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Ninajitahidi kupunguza uzito wa gari yangu toka 960kg angalau ifike 600kg!

Nia na madhumuni ya kutaka kupunguza uzito, kwanza ni kuiwezesha gari iwe nyepesi ili niweze kuendelea kuruka kwenye matuta kwa urahisi.
Pili, ni kupunguza kiwango cha wese ambacho gari inakula.

Ninapofika kwenye matuta, huwa sipendi jinsi gari inavyodunda, sasa kuhakikisha hilo nimeshaanza na kung’ofoa spare tairi kitu ambacho kimeniwezesha niweze kupunguza uzito, kwa takribani 30kg.

Sasa baada ya hapa sioni tena kitu kingine cha kung’ofoa. Sijui ning’ofoe difu!, makochi ya nyuma au?

Embu manaofahamu magari naombeni ushauri wenu. Nitazitoa wapi hizi kg mia tatu ili gari ibaki na uzito wa kg 600?
Ondoa matairi na rim

Ng'oa tyre moja mbele na moja nyuma[emoji1] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom