Nisahihi MTU kupiga picha na kuweka mapozi kwenye msiba

Cendy

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2015
Posts
1,250
Reaction score
2,309
0a51f449bcb445bd22c4f6737bc2fee1.jpg

Kwanza kabisa nikili wazi sipo kwa ajili ya kumkandia le mutuzi kama anavyojiita ila nipo kuangalia ni ethical mtu kupiga picha msibani na kuweka mapozi ya ajabu ajabu?

Wadau naombeni mchango wa mawazo yenu hasa uki refer hiyo picha ya le mtuzi[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]

the great
 
Hahaha! Humu ndani kila siku lemutuz anajadiliwa kulikoni? Je tatizo ni tabia yake ya kukosa maadili au nini,?

Post sent using JamiiForums mobile app
Mkuu nashangaa hata mimi

the great
 
Huyo wa hapo mbele kabisa angalia vidole vyake vya mkono alivyoviweka,inasemekana watu wanaojinasibisha na Freemasons ujitambulisha kwa alama hiyo.
Kweli mkuu

the great
 
0a51f449bcb445bd22c4f6737bc2fee1.jpg

Kwanza kabisa nikili wazi sipo kwa ajili ya kumkandia le mutuzi kama anavyojiita ila nipo kuangalia ni ethical mtu kupiga picha msibani na kuweka mapozi ya ajabu ajabu?

Wadau naombeni mchango wa mawazo yenu hasa uki refer hiyo picha ya le mtuzi[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]

the great
Heshima Mkuu!

Nianze kwa kusema kuwa, si kupiga picha tu kwa Mapozi.Bali pia kupiga picha ya aina zote pasipo a, b, c, d's za upigaji picha na kuzi-enamse mitandaoni pasipo ridhaa yenye kuzingatia Mantiki na si ushabiki.

Pia ni kuingilia faragha ya Marehemu pasipo ridhaa stahiki.Si mmoja wa wana familia, si mwandishi wa habari, si mpiga picha mahususi nk, ya nini upige picha?.

Pia elimu sahihi juu ya Matumizi sahihi ya Simu janja (Smart-phones) inabidi itolewe kwa wingi miongoni mwa wana jamii ili kuepuka u-holoi poloi wa namna hii usiozingatia Logic ya jambo husika.

Madhara ya utumwa mamboleo ya kuiga kila kitu kutoka Magharibi na Mashariki ya mbali na kuileta katika jamii yetu then utegemee matokeo yaleyale ni kujipumbaza kihalaiki.Ni un-ethical kwa Maadili ya kitanzania.

Si sahihi Mkuu.
 
Hahaha! Humu ndani kila siku lemutuz anajadiliwa kulikoni? Je tatizo ni tabia yake ya kukosa maadili au nini,?

Post sent using JamiiForums mobile app
Heshima Mkuu, ZBL.

Sidhani kama anayejadiliwa ni Le mutuz.Kinachojadiliwa ni tabia zake za hovyo anazozifanya kila iitwapo leo ambazo kimsingi hazi-reflect uhalisia wa jamii kubwa ya kitanzania.

Pia kwa tabia zake hizi anachangia kuharibu maadili ya kitanzania pamoja na kutuuza Utumwani.
 
Back
Top Bottom