Muulize Ali Larijani, jibu analo maana yeye alikua jeuri sana alifikiri Israel wanachekesha🤣🤣Hivi Iran akaenda one vs one na Israel unaona nafasi ya Israel kushinda kirahisi?
Unataka Israel avamie vipi? Israel mwaka Jana kaingiza ndege zake hapo Tehran, kapiga majenerali na kuwaua wakiwa kwenye kikaoIran imepigana na US na kupata majeraha , hivyo hiyo Israel inatishia mgonjwa ambae anajiuguza arudi kwenye reli.
Angevamia peke yake Iran ikiwa haijavamiwa na US tuone ubavu wake
Au sio lakini mbona tuliaminishwa mifumo ya ulinzi ya Israel ni superb mbona Iran alikorofisha kidogo mayowe kila konaMuulize Ali Larijani, jibu analo maana yeye alikua jeuri sana alifikiri Israel wanachekesha🤣🤣
Hawa ni wagonjwa wa akiliNdo wachungaj wenu wamewatumia sms hyo kwenye group la kanisa
Mifumo ya ulinzi ya Israel ingekua sio superb basi Iran wangetimiza ndoto Yao ya miaka yote ya kuiangamiza Israel. Unafikiri kwa Nini Hadi Leo Iran imeshindwa kuiangamiza Israel?? Wanaangamia wao TU🤣🤣Au sio lakini mbona tuliaminishwa mifumo ya ulinzi ya Israel ni superb mbona Iran alikorofisha kidogo mayowe kila kona
Sio kweli, Trump aliua vibinti vya shule za msingi zaidi ya 200 kitu hata Netanyahu hajafanya Iran. Msitafute justification hata US walitaka kumaliza mchezo mwanzoni kabisa na walipomuua Ayatollah, kulipua ndege na meli za Iran wakajua kazi imeisha. Cha ajabu nchi haikupinduliwa kama walivyotarajia na nuclear materials wameshindwa kuzichukua.analazimika kufanya mashambulizi kwa tahadhari kubwa, akijua kwamba kila hatua inaweza kuibua upinzani mkali kutoka kwa wabunge na kuathiri nafasi ya chama chake kisiasa.
Ndio, kwa sababu walikuwa wanaiweka USA mbele wakishapiga zile Air defense na targets Israel ndio wanakuja kwa nyuma kumalizia hii mbinu inaitwa "double tapping" na ndio maana ndege 42 za USA zilidunguliwa maana zilingia kwanza.Lakini Israel?
Hakuna ndege yao wala rubani wao aliyepata changamoto ya aina hiyo.
Marekani afanye kutoka katika hii vita uone Jerusalem kama haitakuwa kama Gaza.Mifumo ya ulinzi ya Israel ingekua sio superb basi Iran wangetimiza ndoto Yao ya miaka yote ya kuiangamiza Israel. Unafikiri kwa Nini Hadi Leo Iran imeshindwa kuiangamiza Israel?? Wanaangamia wao TU🤣🤣
Khamenei kafa bila ndoto kutimia, larijani kafa bila ndoto kutimia, mzigo wamemuachia mojtaba, alafu naye anaogopa hata kuonekana hadharani anaishi mapangoni kama otango sare 🤣
Acha uongo, basi mwaka Jana ambapo Israel alikua almost mwenye si wangepiga hata ndege Moja🤣🤣Sio kweli, Trump aliua vibinti vya shule za msingi zaidi ya 200 kitu hata Netanyahu hajafanya Iran. Msitafute justification hata US walitaka kumaliza mchezo mwanzoni kabisa na walipomuua Ayatollah, kulipua ndege na meli za Iran wakajua kazi imeisha. Cha ajabu nchi haikupinduliwa kama walivyotarajia na nuclear materials wameshindwa kuzichukua.
Ndio, kwa sababu walikuwa wanaiweka USA mbele wakishapiga zile Air defense na targets Israel ndio wanakuja kwa nyuma kumalizia hii mbinu inaitwa "double tapping" na ndio maana ndege 42 za USA zilidunguliwa maana zilingia kwanza.
Iran haiwezi ogopa Israel kuliko USA wakati USA ndio jeshi kubwa zaidi duniani hata silaha za Israel hutoka US
Hayo maneno Yako ndio alikua anajiongopea khamenei, sasa hivi Yuko jehanamu anafaidi mabikra 72 🤣🤣Mimi si mshabiki wa vita wala mauaji holela yanayosababishwa na vita. Lakini katika hali ya kawaida mnatakiwa mkubali Iran ni Taifa imara. Kama limeweza kupigana na Marekani (Taifa linalojisifu kuwa kubwa kuliko yote duniani) na mpambe wake Israel mpaka leo mshindi hajulikani ni nani! Hakika kuna kitu cha kujifunza.
Ingekuwa ni Israel peke yake ndiyo ingejiingiza kwenye vita na Iran, hadi muda huu ingekuwa imeshapotea kwenye uso wa dunia kama Trump alivyomchana live kichaa mwenzake Netanyahu miezi michache iliyopita
Wa Israel wa kimatumbi wana ushujaa mdomoni kuliko wa huko mashikiri ya katiSio kweli, Trump aliua vibinti vya shule za msingi zaidi ya 200 kitu hata Netanyahu hajafanya Iran. Msitafute justification hata US walitaka kumaliza mchezo mwanzoni kabisa na walipomuua Ayatollah, kulipua ndege na meli za Iran wakajua kazi imeisha. Cha ajabu nchi haikupinduliwa kama walivyotarajia na nuclear materials wameshindwa kuzichukua.
Ndio, kwa sababu walikuwa wanaiweka USA mbele wakishapiga zile Air defense na targets Israel ndio wanakuja kwa nyuma kumalizia hii mbinu inaitwa "double tapping" na ndio maana ndege 42 za USA zilidunguliwa maana zilingia kwanza.
Iran haiwezi ogopa Israel kuliko USA wakati USA ndio jeshi kubwa zaidi duniani hata silaha za Israel hutoka US
Bila kumdhibiti Netanyahu itakuwa hatari sana.Haoni shida kubonyeza kitufe cha silaha hatari na kufanya maangamizi makubwa.View attachment 3629667
Iran kwa sasa inaonekana kama nchi inayosema:
“Ni afadhali nikabiliane na Uncle Sam kuliko nimguse Israel.”
Marekani ikishambulia, Iran nayo hujibu kwa kushambulia kambi za Marekani katika ukanda huo. Lakini inapofika kwa Israel, hapo ndipo miguu inakuwa mizito. Hadi sasa hawajathubutu kwenda mbali.
Sababu ni rahisi: Iran inaamini Marekani bado ni taifa la mazungumzo. Mashambulizi yakipamba moto kidogo tu, si ajabu ukamsikia Trump akisema:
“Tukae mezani tuzungumze.”
Ukiachana na hayo, Trump kabanwa na chama pinzani Wademocrat ambao wanapambana kumpunguzia uwezo wa kuanzisha au kupanua vita bila idhini ya Bunge. Kwa hiyo, kila shambulio analoidhinisha halipimwi kwa uwezo wa kijeshi, bali pia kwa gharama za kisiasa. Pia uchaguzi wa wabunge wa majimbo wa mwezi Novemba unakaribia, Trump kabanwa akijua kwamba mashambuliz mazito yanaweza kukigharimu chama chake.
Lakini Israel? Hao hawana muda mwingi wa meza, hotuba wala maonyo marefu. Wakiamua kuanza, wanaanza moja kwa moja.
Vita ya siku 12 ya mwaka jana ilionyesha hilo. Viongozi wengi wakuu walilengwa, na walipokuwa wakikaribia kumfikia Ayatollah, Trump aliingilia kati na kuwaambia warudishe ndege.
Na vita ya mwaka huu ilipoanza, Israel walirudi pale pale walipoishia—kwa Ayatollah.
Mbungi ilipigwa bega kwa bega na Marekani. Ni Marekani ambao ndege zao zilishambuliwa mara kwa mara, hadi kufikia operesheni ya kumuokoa rubani wao aliyekuwa akitafutwa kwa dau kubwa.
Lakini Israel?
Hakuna ndege yao wala rubani wao aliyepata changamoto ya aina hiyo.
Kwa kifupi, Iran inaweza kucheza mchezo wa kurushiana makombora na Uncle Sam kwa sababu inaamini mwisho wa mchezo huo kuna meza ya mazungumzo.
Lakini kwa Israel, wanajua mchezo unaweza kuisha kabla hata meza haijaandaliwa.