Brother Depo
JF-Expert Member
- Feb 26, 2026
- 593
- 797
Uhuni anafanya Lebanon na Gaza hafanyi Iran?? Una uhakika unachoongea?Marekani afanye kutoka katika hii vita uone Jerusalem kama haitakuwa kama Gaza.
Israel akienda one vs one na Iran atashinda kwa tabu.Huu uhuni anaofanya Lebanon na Gaza mbona hafanyi Iran.Iran kwenda mpaka US atie mguu ndio na yeye anapata ujasiri wa kushambulia na kukimbia.Kwanini inakuwa hivyo mzayuni
Mwaka Jana Israel from nowhere kaingiza ndege zake hapo Tehran kaua majenerali wote waliokua kwenye kikao, baada ya hapo kashambulia Kila pembe akaua na viongozi wengine
Mwaka huu Tena kaingiza ndege zake kaua ayatollah na wengine. Unataka afanye nini tana?? Israel imefanya Hadi kiongozi mkuu wa irana anaogopa kujitokeza hadharani miezi minne sasa sababu ya kuogopa usalama wake
Mwambieni aendelee kujificha huko huko mashimoni ila Kuna siku watamfuata huko huko mashimoni na kumalizana nae, kama anabisha amuulize Hassan Nasrallah wa Hezbollah 🤣🤣