Brother Depo
JF-Expert Member
- Feb 26, 2026
- 593
- 797
Uhuni anafanya Lebanon na Gaza hafanyi Iran?? Una uhakika unachoongea?Marekani afanye kutoka katika hii vita uone Jerusalem kama haitakuwa kama Gaza.
Israel akienda one vs one na Iran atashinda kwa tabu.Huu uhuni anaofanya Lebanon na Gaza mbona hafanyi Iran.Iran kwenda mpaka US atie mguu ndio na yeye anapata ujasiri wa kushambulia na kukimbia.Kwanini inakuwa hivyo mzayuni
Mwaka Jana Trump ndio aliwazuia Israel wasimuue, mwaka huu wakamuambia acha tumalizanw nae huyu mzee ni kiherehere sana š¤£š¤£Km sio Trump kumzuia netanyau
magaidi ya Iran yangeshasambaratika
Aliyesema ni Trump kwa mujibu wa vyombo vyao vya habari wakati wanabishana mbinu za kutumia kupambana dhidi ya Iran na huyo kichaa mwenzake Netanyahu. Mimi nimeongelea Iran ni Taifa imara. Kwa sababu linashambuliwa na Mataifa mawili, na halijawahi kukubali kushindwa. When you quote me, make sure you read between lines what i have written.Hayo maneno Yako ndio alikua anajiongopea khamenei, sasa hivi Yuko jehanamu anafaidi mabikra 72 š¤£š¤£
Israel ingefutika, Israel ingefutika. Mwisho kafutika yeye, kaacha kazi kwa Mojtaba. Alafu mojtaba nae anaogopa kuonekana hata hadharani kajichimbia mashimoni huko š¤£
Iran walisema kama Israel itaendelea kushambulia Lebanon na Gaza basi wao pia wataishambulia Israel. Israel bado inaendelea kushanmbulia Lebanon na Gaza, Mbona Iran hajarusha hata kokoto kwenda Israel?Wa Israel wa kimatumbi wana ushujaa mdomoni kuliko wa huko mashikiri ya kati
View attachment 3629688
Trump anasema mengi, anasema pia kaimakoza Iran kwenye Kila kitu. Hapo vipi unakubali au ndio utasema Trump muongo?Aliyesema ni Trump kwa mujibu wa vyombo vyao vya habari wakati wababishana mbinu za kutumia kupambana na Iran. Mimi nimeongelea Iran kama Taifa imara. Kwa sababu linashambuliwa na Mataifa mawili, na halijawahi kukubali kushindwa. When you quote me, make sure you read between lines what i have written.
Kuweka mambo sawa hile ilikuwa joint military operation kati ya US na Israel ndio imewaondosha viongozi wengi wa Iran.Israel peke yake kwa Iran anachimba tu vizuriUhuni anafanya Lebanon na Gaza hafanyi Iran?? Una uhakika unachoongea?
Mwaka Jana Israel from nowhere kaingiza ndege zake hapo Tehran kaua majenerali wote waliokua kwenye kikao, baada ya hapo kashambulia Kila pembe akaua na viongozi wengine
Mwaka huu Tena kaingiza ndege zake kaua ayatollah na wengine. Unataka afanye nini tana?? Israel imefanya Hadi kiongozi mkuu wa irana anaogopa kujitokeza hadharani miezi minne sasa sababu ya kuogopa usalama wake
Mwambieni aendelee kujificha huko huko mashimoni ila Kuna siku watamfuata huko huko mashimoni na kumalizana nae, kama anabisha amuulize Hassan Nasrallah wa Hezbollah š¤£š¤£
Nchi nyingi za ulaya ziligoma kusapoti huo ujingaAliyesema ni Trump kwa mujibu wa vyombo vyao vya habari wakati wababishana mbinu za kutumia kupambana na Iran. Mimi nimeongelea Iran kama Taifa imara. Kwa sababu linashambuliwa na Mataifa mawili, na halijawahi kukubali kushindwa. When you quote me, make sure you read between lines what i have written.
Mwaka Jana Israel ilivyoingia kushambulia majenerali ilikua joint operations?? Ndio unavyojiongopea?Kuweka mambo sawa hile ilikuwa joint military operation kati ya US na Israel ndio imewaondosha viongozi wengi wa Iran.Israel peke yake kwa Iran anachimba tu vizuri
Ujinga wakati watu wiki nzima walilia machozi wanazika gaidi ayatollah š¤£š¤£Nchi nyingi za ulaya ziligoma kusapoti huo ujinga
Mafataki yaliweza kusumbua mfumo wa ulinzi wa Israel unadhani ni ya kawaida.Vingora Tel aviv vilikuwa vya kazi gani mzayuni?Mwaka Jana Israel ilivyoingia kushambulia majenerali ilikua joint operations?? Ndio unavyojiongopea?
Mwaka Jana Trump alisema aliwazuia Israel wasimuue ayatollah kifo cha aibu, huyu khamenei alikua analowa kichwa toka mwaka Jana na Israel. Trump ndio aliwazuia
Hizo operation Israel anazipiga mwenyewe ndio maana huanza kutanganza mapema wao kama wao.
Iran inaogopa nao kuingia Israel kupiga hizo operation?? Wanaishia kurusha mafataki TUš¤£š¤£
Hii vita ni ya kipuuzi na haina maslahi yoyote yale kwa uchumi na amani ya dunia. Mihemko ya Trump na mwenzake Netanyahu ya kutaka kuifanya Israel kuwa Taifa lenye nguvu za kijeshi eneo la Mashariki ya Kati ndiyo imetufikisha hapa.Nchi nyingi za ulaya ziligoma kusapoti huo ujinga
Wanadai mzee kashikwa na yake mafaili ndio maana kakokotwa kindeziHii vita ni ya kipuuzi na haina maslahi yoyote yale kwa uchumi na amani ya dunia. Mihemko ya Trump na mwenzake Netanyahu ya kutaka kuifanya Israel kuwa Taifa lenye nguvu za kijeshi eneo la Mashariki ya Kati ndiyo imetufikisha hapa.
Leo tunauziwa mafuta kwa 4000+ sababu ni hawa watu wawili. Hovyo kabisa
Tulisikia wote mkuu ila mmatumbi wa kiyahudi wa buza anabishaZilipigwa siku 12 netanyau akaomba poo ndio maana safari iran na USA wamerudi kwenye vita Israel kaka pembeni
Trump kasema kama sio marekani Israel ingefutwa kwenye dunia
Israel aliambiwa apige Beirut tu iran imchakaze mpaka Leo Israel anishia kupiga Lebanon kusini tu
Mpaka Leo Beirut ipo shwariTulisikia wote mkuu ila mmatumbi wa kiyahudi wa buza anabisha
Mkuu kifo cha Ayatolah Khamenei nadhani ni zaidi ya mabomu 22. Kwanza lile eneo lina ngazi kadhaa kushuka chini, ni takribani ghorofa mbili hadi tatu kushuka chini.Umeongea ukweli mtupu. Nilishalisema hili humu kuwa Iran inamuogopa sana Israel. Israel huwa hawatanii, hawachekeshi. Wao wanakupa dozi kweli kweliš¤£š¤£
Kuna yule gaidi mkuu wa Hezbollah wa kuitwa Hassan Nasrallah, alikua anaishi chini kwenye mahandaki lakini walimfuata huko huko chini wakamshindilia mabomu mazito ya tomahawk
Kuna yule gaidi wa Hamas wa kuitwa Ismail Haniyeh, huyu alikimbilia Iran. Lakini Israel walimfuata hapo hapo Tehran Iran na wakammalizaš¤£
Ayatollah khamenei aliambiwa ytauwawa kifo cha aibu hivyo ajirekebishe lakini akafikiri utani, Wakamshindilia mabomu mazito 22 ya tomahawk š¤£š¤£
Israel kuonyesha kuwa hawabahatishi huwa wanaanzaga kutangazwa wao kuwa wameshampeleka jehanamu kiongozi Fulani, alafu baadae huko ndio Iran inathibitisha
View attachment 3629677
mimi ni mnyonge nakuogopa wewe halafu mimi huyo huyo nitoke wazi wazi huku dunia ikiangalia nikisema ntakufutilia mbali kwenye uso wa dunia..kauli hizo zilitolewa mara kwa mara tena wazi wazi na viongozi wa iran halafu hawa watu ndo wanamuogopa waisrael,waisraeli wenyewe wanasema benja anapigana vita visivyo na maana yoyote wala malengo hayafikiwi na bado maadui tena hata vikundi tu kama hezbollahbado wanaweza kurusha makombora kwenye ardhi teuleUmeongea ukweli mtupu. Nilishalisema hili humu kuwa Iran inamuogopa sana Israel. Israel huwa hawatanii, hawachekeshi. Wao wanakupa dozi kweli kweliš¤£š¤£
Kuna yule gaidi mkuu wa Hezbollah wa kuitwa Hassan Nasrallah, alikua anaishi chini kwenye mahandaki lakini walimfuata huko huko chini wakamshindilia mabomu mazito ya tomahawk
Kuna yule gaidi wa Hamas wa kuitwa Ismail Haniyeh, huyu alikimbilia Iran. Lakini Israel walimfuata hapo hapo Tehran Iran na wakammalizaš¤£
Ayatollah khamenei aliambiwa ytauwawa kifo cha aibu hivyo ajirekebishe lakini akafikiri utani, Wakamshindilia mabomu mazito 22 ya tomahawk š¤£š¤£
Israel kuonyesha kuwa hawabahatishi huwa wanaanzaga kutangazwa wao kuwa wameshampeleka jehanamu kiongozi Fulani, alafu baadae huko ndio Iran inathibitisha
View attachment 3629677
Nyie watu wazito Sana.Umeongea ukweli mtupu. Nilishalisema hili humu kuwa Iran inamuogopa sana Israel. Israel huwa hawatanii, hawachekeshi. Wao wanakupa dozi kweli kweliš¤£š¤£
hayo ni maneno yako wewe hakielimu ila Trump mwenyewe tena wazi wazi mbele ya kamera alisema kama si USA israeli ingechakazwa vibaya sanaKm sio Trump kumzuia netanyau
magaidi ya Iran yangeshasambaratika