stella1975
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 870
- 1,249
Karibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo hatoi Mikopo NduguNiPM nikupe namba za manager wa kampuni. Kama una dhamana yeye thamani ya pesa unayotaka hata kesho jioni unapata.
Riba asilimia 10 tu na marejesho ni kila siku.
Niko Nae hapa hapa, kwani wanaokopo hawana wanaumeBaba mtoto yupo wapi??
Siyakudumisa Nkosi Yezulu
Kasema anahitaji kuelekezwa taasisi za mikopo na si mtu binafsi,au wewe ni mmiliki wa taasisi mojawapo hapa nchiniShida watu hawarudishi pesa wakikopeshwa ,nimekopeaha marafiki zangu miaka minne nyuma mpaka Leo tumekuwa adult,akija mtu kukopa anakuja kea upole kweli ,mkimpa tu imekula kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani tena hatoi mkopo ?
Sijakuruhusu kutumia bango langu kutafutia sifa, anzisha bango lako ndio uelezee misifa yako hiyo, soma mada Halafu ujikite kuchangia kulingana na madaShida watu hawarudishi pesa wakikopeshwa ,nimekopeaha marafiki zangu miaka minne nyuma mpaka Leo tumekuwa adult,akija mtu kukopa anakuja kea upole kweli ,mkimpa tu imekula kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Amina mkuuuPole mkuu. Kwa Dar nawafahamu African Microfinance wapo maeneo ya Mlimani City kama hawajahama na namba zao ni +255 22 2 701 270. Wengine ni hii kampuni ya Eric Shigongo iitwayo Wezesha Wazawa Tanzania ambao namba zao za mawasiliano ukizitafuta mtandaoni utazipata.
Sawa kiongozi. Nimeongezea maelezo zaidi katika post ya awali. Usijali shida ni mwanaharamu lakini jipe matumaini kwani hayo ni mawimbi tu na yatapita. All the best.
Sijakuruhusu kutumia bango langu kutafutia sifa, anzisha bango lako ndio uelezee misifa yako hiyo, soma mada Halafu ujikite kuchangia kulingana na mada
Sent using Jamii Forums mobile app
Msipende kuleta maskhara na shida za watu.Mbona mkali hivi !![emoji848][emoji848][emoji848][emoji848], hahaha atakaye kukopesha imekula kwake, siku ya kuja kudai lazima utamwambia “mbona vihela vyenyewe vidogo lakini tunasumbuana hivi kama vile nimesema sikulipi, si usubiri .....”
Wew ni mwanamke mwenye gubu sana, japo sikujui lakini naweza tabiri tabia yako
Samahani kama nimekukera
Sent using Jamii Forums mobile app
Msipende kuleta maskhara na shida za watu.