Nisaidie anaejua taasisi Ya kukopesha hapa Dar tafadhali nielekezeni

Nisaidie anaejua taasisi Ya kukopesha hapa Dar tafadhali nielekezeni

NiPM nikupe namba za manager wa kampuni. Kama una dhamana yeye thamani ya pesa unayotaka hata kesho jioni unapata.

Riba asilimia 10 tu na marejesho ni kila siku.
 
Shida watu hawarudishi pesa wakikopeshwa ,nimekopeaha marafiki zangu miaka minne nyuma mpaka Leo tumekuwa adult,akija mtu kukopa anakuja kea upole kweli ,mkimpa tu imekula kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kasema anahitaji kuelekezwa taasisi za mikopo na si mtu binafsi,au wewe ni mmiliki wa taasisi mojawapo hapa nchini
 
Shida watu hawarudishi pesa wakikopeshwa ,nimekopeaha marafiki zangu miaka minne nyuma mpaka Leo tumekuwa adult,akija mtu kukopa anakuja kea upole kweli ,mkimpa tu imekula kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakuruhusu kutumia bango langu kutafutia sifa, anzisha bango lako ndio uelezee misifa yako hiyo, soma mada Halafu ujikite kuchangia kulingana na mada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole mkuu. Kwa Dar nawafahamu African Microfinance wapo maeneo ya Mlimani City kama hawajahama na namba zao ni +255 22 2 701 270. Wengine ni hii kampuni ya Eric Shigongo iitwayo Wezesha Wazawa Microfinance ambao namba zao za mawasiliano ukizitafuta mtandaoni utazipata. Pia kuna VisionFund Tanzania Microfinance.

Mara nyingi riba zao ni 4.5% kwa kila mwezi na pia wanahitaji salary slips za miezi mitatu ya hivi karibuni, registration fee 20,000/=, 2% ya mkopo kama application fee ambayo itakuja kupunguzwa kwenye mkopo utakaopewa, dhamana ya kuku wa nyama au faili na kadi la gari au dhamana yoyote yenye thamani kubwa zaidi ya mkopo unaohitaji, utambulisho wa serikali ya mtaa na/au mwajiri wako, sahihi na picha ya mwenza wako yaani mke au mme, leseni ya biashara na vitu vingine kadhaa kutegemea na mkopeshaji.
 
Pole mkuu. Kwa Dar nawafahamu African Microfinance wapo maeneo ya Mlimani City kama hawajahama na namba zao ni +255 22 2 701 270. Wengine ni hii kampuni ya Eric Shigongo iitwayo Wezesha Wazawa Tanzania ambao namba zao za mawasiliano ukizitafuta mtandaoni utazipata.
Amina mkuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijakuruhusu kutumia bango langu kutafutia sifa, anzisha bango lako ndio uelezee misifa yako hiyo, soma mada Halafu ujikite kuchangia kulingana na mada

Sent using Jamii Forums mobile app

Mbona mkali hivi !![emoji848][emoji848][emoji848][emoji848], hahaha atakaye kukopesha imekula kwake, siku ya kuja kudai lazima utamwambia “mbona vihela vyenyewe vidogo lakini tunasumbuana hivi kama vile nimesema sikulipi, si usubiri .....”
Wew ni mwanamke mwenye gubu sana, japo sikujui lakini naweza tabiri tabia yako
Samahani kama nimekukera

Msipende kuleta maskhara na shida za watu.
 
Kobelo Gonzaga wapi wewe kuna mtu anataka kujilipua.
 
Ingia google hapo acha uzembe
Screenshot_20190327-203612.jpeg
Screenshot_20190327-203628.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom