miss_mbeya
JF-Expert Member
- Mar 24, 2015
- 1,072
- 1,021
YesKasema anahitaji kuelekezwa taasisi za mikopo na si mtu binafsi,au wewe ni mmiliki wa taasisi mojawapo hapa nchini
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YesKasema anahitaji kuelekezwa taasisi za mikopo na si mtu binafsi,au wewe ni mmiliki wa taasisi mojawapo hapa nchini
Aliekwambia anatafuta sifa nani ,kafie mbele hukoSijakuruhusu kutumia bango langu kutafutia sifa, anzisha bango lako ndio uelezee misifa yako hiyo, soma mada Halafu ujikite kuchangia kulingana na mada
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawafahamu hao,ukiona kaingia huku ,kwa ndugu na jamaa hawamkopeshi ,alishakopa kadhurumuMbona mkali hivi !![emoji848][emoji848][emoji848][emoji848], hahaha atakaye kukopesha imekula kwake, siku ya kuja kudai lazima utamwambia “mbona vihela vyenyewe vidogo lakini tunasumbuana hivi kama vile nimesema sikulipi, si usubiri .....”
Wew ni mwanamke mwenye gubu sana, japo sikujui lakini naweza tabiri tabia yako
Samahani kama nimekukera
Sent using Jamii Forums mobile app