Nisaidie anaejua taasisi Ya kukopesha hapa Dar tafadhali nielekezeni

Nisaidie anaejua taasisi Ya kukopesha hapa Dar tafadhali nielekezeni

Mbona mkali hivi !![emoji848][emoji848][emoji848][emoji848], hahaha atakaye kukopesha imekula kwake, siku ya kuja kudai lazima utamwambia “mbona vihela vyenyewe vidogo lakini tunasumbuana hivi kama vile nimesema sikulipi, si usubiri .....”
Wew ni mwanamke mwenye gubu sana, japo sikujui lakini naweza tabiri tabia yako
Samahani kama nimekukera


Sent using Jamii Forums mobile app
Nawafahamu hao,ukiona kaingia huku ,kwa ndugu na jamaa hawamkopeshi ,alishakopa kadhurumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom