Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
La kutaka mkeBango la nini kiongozi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
La kutaka mkeBango la nini kiongozi.
Lete experience yako sasa mbona unakimbia?
Asante sana. Ngoja niliwinde boksi moja hivi hua linajichetua vibaya.Nimewahi kutana nao kama watano lakini wote ni wale wale except mmoja tu. Wajua Jf wengi wako smart upstairs japo si wote, na mara nyingi wabaya ndiyo huwa wako smart, sasa hapo jiongezd mwenyewe kuwa utaangukia wapi
Kuwa smart upstairs labda ilikuwa miaka minne au mitatu ya nyuma. Kwa sasa jf yetu ni kokoro. Kila kundi lipo.Nimewahi kutana nao kama watano lakini wote ni wale wale except mmoja tu. Wajua Jf wengi wako smart upstairs japo si wote, na mara nyingi wabaya ndiyo huwa wako smart, sasa hapo jiongezd mwenyewe kuwa utaangukia wapi
Nimestukia kwamba mahitaji ya mke au mume ni mengi kila uchao.
Maana post za kutafuta mchumba, mke/mume ni nyingi online.
Hivi ni kweli kwamba hao waombao kupata mwenza humu JF hufanikiwa?
Jibu lako litanihamaisha nami kujaribu.
Ila kwel wapo weng tu. Me rfk yng alioa mke wa wrng no na wamefunga ndoa ya kansan.Wapo, ila hawawezi kusema...
Iam getting your pointLabda upate wa kudo tu basi lakini kupata a serious woman who is committed humu ndani sina uhakika.
Nisaidie basi kaka na MimiBidii zako tu usisubiri kuelezewa.
Naanza kuelewaInategemea,ila asilimia kubwa wanakuwa wakiishi kimaigizo au mwingine anakubali kuumia tu ili uhusiano uendelee,na hata kama ukiendelea hautazidi miaka mitano bila kuwa na misuguano au kutokuelewana.cha muhimu hapo ulipo wekeza nguvu zako upate