Nisaidie Hili

Nisaidie Hili

Inategemea,ila asilimia kubwa wanakuwa wakiishi kimaigizo au mwingine anakubali kuumia tu ili uhusiano uendelee,na hata kama ukiendelea hautazidi miaka mitano bila kuwa na misuguano au kutokuelewana.cha muhimu hapo ulipo wekeza nguvu zako upate
 
Lete experience yako sasa mbona unakimbia?

Nimewahi kutana nao kama watano lakini wote ni wale wale except mmoja tu. Wajua Jf wengi wako smart upstairs japo si wote, na mara nyingi wabaya ndiyo huwa wako smart, sasa hapo jiongezd mwenyewe kuwa utaangukia wapi
 
Labda upate wa kudo tu basi lakini kupata a serious woman who is committed humu ndani sina uhakika.
 
Nimewahi kutana nao kama watano lakini wote ni wale wale except mmoja tu. Wajua Jf wengi wako smart upstairs japo si wote, na mara nyingi wabaya ndiyo huwa wako smart, sasa hapo jiongezd mwenyewe kuwa utaangukia wapi
Asante sana. Ngoja niliwinde boksi moja hivi hua linajichetua vibaya.
 
Nimewahi kutana nao kama watano lakini wote ni wale wale except mmoja tu. Wajua Jf wengi wako smart upstairs japo si wote, na mara nyingi wabaya ndiyo huwa wako smart, sasa hapo jiongezd mwenyewe kuwa utaangukia wapi
Kuwa smart upstairs labda ilikuwa miaka minne au mitatu ya nyuma. Kwa sasa jf yetu ni kokoro. Kila kundi lipo.
 
Nimestukia kwamba mahitaji ya mke au mume ni mengi kila uchao.

Maana post za kutafuta mchumba, mke/mume ni nyingi online.

Hivi ni kweli kwamba hao waombao kupata mwenza humu JF hufanikiwa?

Jibu lako litanihamaisha nami kujaribu.

Wapo wanaofanikiwa, ila nahisi wanaopata type zao ni wachache sana unless uwe hauna choice yaan we yeyote tu fresh
 
Wapo wanao fanikiwa , pia wapo wasio fanikiwa ndio maaana post zinakuwa nyingi kila uchao utakutana na post mpya mpnzi anatafutwa nk
 
Inategemea,ila asilimia kubwa wanakuwa wakiishi kimaigizo au mwingine anakubali kuumia tu ili uhusiano uendelee,na hata kama ukiendelea hautazidi miaka mitano bila kuwa na misuguano au kutokuelewana.cha muhimu hapo ulipo wekeza nguvu zako upate
Naanza kuelewa
 
Back
Top Bottom