UJINGA WA MWAFRIKA
Member
- Sep 24, 2013
- 13
- 0
Watanzania wenzangu ambao mmeshuhudia ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu,tanzania kufanywa soko na njia kubwa ya usafirishaji madawa ya kulevya,rasilimali za nchi kukabidhiwa wageni kwa bei chee, mali zetu kuingiwa mikataba ambayo ni siri kwa sisi wenye mali,ujangili wa tembo,faru.
Nchi yetu kufanywa mali ya chama cha ccm.matumizi mabaya ya madaraka ya rais na baraza lake la mawaziri kwa mipango isiyo na tija kwa nchi na sisi tukiendelee kuchakaa kwa umasikini na huku nchi ikikopa fedha ndani na nje ya nchi kila kukicha na yeye na kundi lake wakijilimbikizia utajiri.majeshi yetu yanatumika kuuwa raia maskini,kutisha watanzania wanaokosoa serikali hii,kuwapakazia kesi huku mitandao yao ya kuuza madawa ya kulevya,kupora madini ,kupora vipusa ,kuingia mikataba yenye masilahi binafsi kwao wakiachwa wafanye watakavyo.ndugu zangu wenye kuyaona haya na mengine mengi,tusaidiane kujikomboa toka kwa utawala huu dhalimu na tuangalie umma wa ndugu zetu wanavotaabika kama ombaomba ndani ya ardhi yetu ili hali kila rasimali tunayo hapa.
Ninawiwa na kutafuta nanma ambavo nitapata usaidizi kadri inavowezekana niweze kufungua mashitaka dhidi ya rais na mawaziri kwenye mahakama ya icc the haque ili kuinusuru nchi hii kwa njia za amaniqq