Nisaidie kufungua mashitaka dhidi ya rais Jakaya Kikwete mahakama ya ICC the Haque

Joined
Sep 24, 2013
Posts
13
Reaction score
0
Watanzania wenzangu ambao mmeshuhudia ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu,tanzania kufanywa soko na njia kubwa ya usafirishaji madawa ya kulevya,rasilimali za nchi kukabidhiwa wageni kwa bei chee, mali zetu kuingiwa mikataba ambayo ni siri kwa sisi wenye mali,ujangili wa tembo,faru.

Nchi yetu kufanywa mali ya chama cha ccm.matumizi mabaya ya madaraka ya rais na baraza lake la mawaziri kwa mipango isiyo na tija kwa nchi na sisi tukiendelee kuchakaa kwa umasikini na huku nchi ikikopa fedha ndani na nje ya nchi kila kukicha na yeye na kundi lake wakijilimbikizia utajiri.majeshi yetu yanatumika kuuwa raia maskini,kutisha watanzania wanaokosoa serikali hii,kuwapakazia kesi huku mitandao yao ya kuuza madawa ya kulevya,kupora madini ,kupora vipusa ,kuingia mikataba yenye masilahi binafsi kwao wakiachwa wafanye watakavyo.ndugu zangu wenye kuyaona haya na mengine mengi,tusaidiane kujikomboa toka kwa utawala huu dhalimu na tuangalie umma wa ndugu zetu wanavotaabika kama ombaomba ndani ya ardhi yetu ili hali kila rasimali tunayo hapa.

Ninawiwa na kutafuta nanma ambavo nitapata usaidizi kadri inavowezekana niweze kufungua mashitaka dhidi ya rais na mawaziri kwenye mahakama ya icc the haque ili kuinusuru nchi hii kwa njia za amaniqq
 
Una wazo zuri sana ila samahani kidogo, Mkuu una Ushahidi wa kutosha!!??
Bora we umshtaki kuliko yeye aanze mgogoro na wewe, nadhani unawajua viongozi wa Afrika walivyo. Ila una wazo zuri sana ambalo hata mi nimelipenda. Kila la Heri.
 
Ndugu yangu ni kweli kwa uliyoainisha hapo juu ila. Ukilinganisha utawala wa J.K na aliyemtangulia bw Mkapa ,J.K Ana nafuu ktk hayo ,J.K hajawahi kuagiza majeshi yauwe raia ,labda kasoro zilizotokea Mtwara,ila Mkapa yeye alikiri hadharani Kuwa haupendi upinzani naalifanya juu chini kuhakikisha vyema ya upinzanzani unakuja kwa gharama yoyote ikibidi hata kuuwa Watu .
 
Hahahahaaaa, mkuu kazana ila hutafika popote. Sukuvunji moyo ila ndo ukweli huo.
 
Ndugu yangu ni kweli kwa uliyoainisha hapo juu ila. Ukilinganisha utawala wa J.K na aliyemtangulia bw Mkapa ,J.K Ana nafuu ktk hayo ,J.K hajawahi kuagiza majeshi yauwe raia ,labda kasoro zilizotokea Mtwara,ila Mkapa yeye alikiri hadharani Kuwa haupendi upinzani naalifanya juu chini kuhakikisha vyema ya upinzanzani unakuja kwa gharama yoyote ikibidi hata kuuwa Watu .

Yah, ni kweli Mkuu. Kipindi cha J.K Watanzania wengi wapo huru sana kuongea na kufanya wanayotaka. Mfano maandamano, migomo n.k tena vyombo vya habari ndo vimejisahau kabisa. Anachokifanya Kikwete na kuziba mdomo wake yaani kukaa kimya na kuacha wasaidizi wake wafanye kazi. Kibaya zaidi wasaidizi wake ndo hamna kitu. Kwa kiasi kikubwa LOWASSA angefaa sana kuendelea kuwa PM.
 
Naendelea kukusanya vielelezo,na ndio sababu nahangaika kukomesha utawala kandamizi kuliko hata ule wakoloni walitutendea
 
sidhani kama utafika mbali kabla hawajakutungua, though unamawazo mazuri je ushahidi wa kutosha unao siyo uende na siasa siasa mkuu,
 
Watanzania wenzangu ambao mmeshuhudia ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu,tanzania kufanywa soko na njia kubwa ya usafirishaji madawa ya kulevya,rasilimali za nchi kukabidhiwa wageni kwa bei chee, mali zetu kuingiwa mikataba ambayo ni siri kwa sisi wenye mali,ujangili wa tembo,faru.

Nchi yetu kufanywa mali ya chama cha ccm.matumizi mabaya ya madaraka ya rais na baraza lake la mawaziri kwa mipango isiyo na tija kwa nchi na sisi tukiendelee kuchakaa kwa umasikini na huku nchi ikikopa fedha ndani na nje ya nchi kila kukicha na yeye na kundi lake wakijilimbikizia utajiri.majeshi yetu yanatumika kuuwa raia maskini,kutisha watanzania wanaokosoa serikali hii,kuwapakazia kesi huku mitandao yao ya kuuza madawa ya kulevya,kupora madini ,kupora vipusa ,kuingia mikataba yenye masilahi binafsi kwao wakiachwa wafanye watakavyo.ndugu zangu wenye kuyaona haya na mengine mengi,tusaidiane kujikomboa toka kwa utawala huu dhalimu na tuangalie umma wa ndugu zetu wanavotaabika kama ombaomba ndani ya ardhi yetu ili hali kila rasimali tunayo hapa.

Ninawiwa na kutafuta nanma ambavo nitapata usaidizi kadri inavowezekana niweze kufungua mashitaka dhidi ya rais na mawaziri kwenye mahakama ya icc the haque ili kuinusuru nchi hii kwa njia za amaniqq

Unaandika pumba.

Unaamini ujinga uliojazwa nao.
 
kama unataka kuporwa haki yako ya uraia nenda huko uone
 
Ulivyoandika inaonyesha hata hujui ICC ni nini na inashughulikia kitu gani.Ni kama vile umeandika ukiwa umelewa bia za kilimanjaro za bure za CHADEMA!
 
Wakati wa Ukoloni ulikwepo? Mwanamke akipasuliwah tumbo la mimba ili tu waone mtt alivyo kaa humo tumboni. Naona shibe inawahadaa. Waharibifu wakubwa n cc tunapanga na madiwani kukomba tenda ktk halimashauri zile % . Pambana jimboni kwanza ktk hiyo miradi ukifanikiwa ndo usogesogee. Halmashauri zinatumaliza. Kata gani umeona kumebandikwa ratiba ya miradi ya jmbo na gharama itakayotumika! ! Uwe MRADI WA HALMASHAURI AMA SIRIKALI KUU. Ushawahi kuona fungu, wee piga kura ishia kuandamana badala yakumhoja uliye mchagua "Serikali hii bwana" ndio maneno yao. "Nichagueni naenda serikalin kuwatetea" kumbe kula tu. Wenyewe tunabaki na majunguuuuuuuu!!!!!!!"!"!"""!!! Hoo tembo wanaishaa ndugu zetu wamekufaa, waacheni majangili wajikombee tu. Oparasheni endeleza aliyekufa azikwe matatizo yaliyojutokeza yarekebisheni sasa Uchumi utaheshimika. Akifa akiumia ndunguyo na mifugo yako kukamatwa baala tena serikali. Wakikamata wacha
Wakiwacha kamata. Huu utoto
China hupigi kelele
 
Huu ugonjwa wa kumponda mtu akiwa madarakani na kumkubali pindi anapotoka sijui utaisha lini nchi hii,Nyerere alipondwa sana wakati wake leo hii ananukuliwa kila kukicha,vivyo hivyo kwa waliofuatia sitaona ajabu hali ikijirudia kwa Jakaya.Maana nchi hii kila mtu mwanasiasa
 
unawazo zur,bt kwa hii serikal isiyo na democracy utapotezwa kama babu seya.GOD BLEC TZ
 
mkuu kusanya evidence nadata hasa mauaji ya waandishi wa habari.sisi wengine hatuwezi ila ukianzisha tunafuata the hague inamstahili kabisa.
unasupport ya vijana 10 nilionao hapa fanya action akitoka 2015 apande kortin.muuza koken mkubwa.mhujumu uchumi kaficha $ uswsi na mwanae.
 
Ni wazo zuri ingawa sina hakika kama unao ushahidi wa kutosha ambao hautaacha shaka yoyote kiasi cha kuwatia hatiani washitakiwa,otherwise utakuwa umeweka maisha yako rehani.
 
Back
Top Bottom