Ndugu zangu kwema poleni na majukum.
mimi operator wa excavator mzoefu
naomba msaada wenu kwa yeyote anaeweza kuniunganisha songea kwenye makaa ya mawe japo nipate hata nafasi ya kutest kuonyesha nilicho nacho naimani humu kuna watu wengi wa aina tofauti naomba msaada wenu.
shukrani.