I Ibra6 JF-Expert Member Joined Jun 2, 2013 Posts 290 Reaction score 66 Sep 5, 2013 #1 Dereva wangu bodaboda alilaza pikiki sehem ya kulaza magali kwa kulipia usiku pakavamiwa ikaibiwa pikipiki yangu tu!!
Dereva wangu bodaboda alilaza pikiki sehem ya kulaza magali kwa kulipia usiku pakavamiwa ikaibiwa pikipiki yangu tu!!
I Ibra6 JF-Expert Member Joined Jun 2, 2013 Posts 290 Reaction score 66 Sep 5, 2013 Thread starter #2 Polic walikamata walinzi wakawaachia kwa dhamana,nikaambiwa wanatafuta wezi waliovamia.nianzie wapi kufungua mashitaka?
Polic walikamata walinzi wakawaachia kwa dhamana,nikaambiwa wanatafuta wezi waliovamia.nianzie wapi kufungua mashitaka?