Nisaidie nimeibiwa

Nisaidie nimeibiwa

Ibra6

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2013
Posts
290
Reaction score
66
Dereva wangu bodaboda alilaza pikiki sehem ya kulaza magali kwa kulipia usiku pakavamiwa ikaibiwa pikipiki yangu tu!!
 
Polic walikamata walinzi wakawaachia kwa dhamana,nikaambiwa wanatafuta wezi waliovamia.nianzie wapi kufungua mashitaka?
 
Back
Top Bottom