Nisaidie nyimbo kutoka Album ya mwaka 1995 ya Captain Komba na bendi yake

Nisaidie nyimbo kutoka Album ya mwaka 1995 ya Captain Komba na bendi yake

Pettymagambo

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2017
Posts
1,490
Reaction score
8,227
Salaam wazee wa kambi.

Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, japo nilikua mdogo ila baadhi ya maneno katika nyimbo hizo nayakumbuka.

1. Muongo mbeya anauaa

2. Nyumba ya jirani yetu inateketea moto twende tukazime

3. Shime shime jaman, shimeshime kuomba tukazanee kuomba

4. Nakazi halina aibuu!

Mwisho ntafurahi sana sana nikipata nyimbo hizi na nitaamini kweli hapa jf ni kunawatu wanatunza vitu kwanamna nilivyo zika hizo nyimbo bila mafanikio.

Namaliza na shukrani.
 
Back
Top Bottom