Joseph Isaack
JF-Expert Member
- Aug 8, 2011
- 450
- 89
hapo ndio unapokosea. It is not about them. It is about you. It is them who should worry about satisfying you.
Kuna baadhi ya Hii mijitu ukiiuliza how do I satisfy you, you will end up in trouble.
So ishould not worry?nirelux tu yeye amalize mambo yake bhana naona karaha ujue uko na mtu yeye anaenjoy anascreem wewe upo tu unashangaa ni kama adhabu hii.hapo ndio unapokosea. It is not about them. It is about you. It is them who should worry about satisfying you.
Kuna baadhi ya Hii mijitu ukiiuliza how do I satisfy you, you will end up in trouble.
Mimi ni mtu wa Bk
wewe ndo unakosea , in sex it's not role of men to satify women. Mungu kauweka utamu kwa mtu mwenyewe, hivyo ni wajibu wa mtu huyo kuutafuta utamu. Ndo mana mtu anaweza mtu anaweza kujiridhisha hata kwa kujichua na bado akaona utamu kwa sababu utamu anao mwenyewe. Hivyo mwache mwenzio ajitafutie utamu.
Ndugu yangu maswali yako ni mengi ila ntajibu yote maana hari si shwari kwangu.Kuhusu ananiandaaje naamini anaiandaa vyema tu maana nimeshawashilikisha rafiki zangu kunambia hatua za maandalizi nikilinganisha na za boy wangu naona sawa ,usafi na mazingila vyote nivizuri vinapotakikna wapenzi kuwa maana tumekuwa na kawaida ya kubadilisha manthari.Maumbile yake ni size ya kawaida kabisa na hutumia mda depending na tuko vipi siwezi kadilia.Nina maswali... kibao na yanayohitaji umakini kwenye kunibu japokuwa mengine ni personal....
Huwa mnaandana kwa muda gani?
Usafi wa mwenzi wako ni wa kiasi gani?
Mazingira mnayoyafanyia yanakuwaje?
Muda mnaotuma ni muda gani?
Maumbile ya jamaa yako ni ya aina gani?
Ninakusikiza... nakunywa kahawa hapa..
So ishould not worry?nirelux tu yeye amalize mambo yake bhana naona karaha ujue uko na mtu yeye anaenjoy anascreem wewe upo tu unashangaa ni kama adhabu hii.
ok ok am soory mimi ni mhaya.
Kwa uwezo Mungu amenipa na saikolojia ya mapenz ninavyo ielewa mimi. Orgasim yako ipo mbali sana, unamuitaji mwanaume asie na papara pindi yupo nawewe kitandani, pia unaitaji mwanaume ambaye anapenda michezo yakitandan mwenye uwezo wakukushika kila sehemu ya mwili yako yan kama kwa kutumia ulimi,lips,uume na kucha. Pia unaitaji kumpata mwanaume anakudadisi vile unajisikia kwa kila atua ili aweze kukuchezea zaid pale orgasm yako inapanda. Kumbuka tatizo linawasumbuwa wanaume weng nikuwah kukojoa na kuishiwa nguvu yakupanda mtungini, pili wanaume weng gol la pili nitatizo hivyo kuwa vigumu kukupandisha mzuka. Ukifanya hayo na ukawa bado then juwa lipo tatizo. Upande wako either unamsongo wa mawazo,au uliwah kubakwa na imekufanya kuchukia tendo la ndoa au umetupiwa majini ila huko kuna ushauri wake. Asante
Ndugu yangu pole sana tatizo lako ni dogo sana ila likipata mjuzi umpate mwanaume ambae anafahamu maana ya huba na sio mapenzi tatizo lako ni 1 kati ya haya
1 ni kua mpenzi wako anashinda kukuandaa
2 kashindwa kuijua sehemu yako ya hisia
3 maandalizi ya mapenzi unahisi km ni uchafu
4 hisia zako ziko mbali sana na unapozihisi zinakuja unajilazimisha uonekane shujaa
Ushauri
Raha jipe mwenyewe usisubiri kupewa mapenzi ni hisia na ukishikwa ushikike sio umekaa km bubu kwani mapenzi ni sanaa km sanaa nyengine
Ukihitaji ziada ni pm nikupe namba nikueisishe elimu

no sweetie. Ninachomaanisha ni hivi. Huyo mwenza wako inabidi afanye mambo tofauti ya kukuamsha hisia za kufanya mapenzi ili muenjoy wote. Sio unabinuka weeee lijamaa lina thrust tu halafu likimaliza linajilaza smiling like a goat na wewe umemtolea macho wondering where am I?? Huyo tupa kule.
Mimi ni binti mwenye umli wa miaka 29 tokea nilipoamua kujiingiza na maswala ya mahusiano na kuanza kufanya tendo la ndoa sijawahi hisi raha ya tendo hilo hata kidogo.Nilijalibu waeleza lafiki zangu wakanishauli kuwa niachane na mpenzi wangu labda simpendi nimeishi kwa mda nikafall na mtu ninaempenda sana lakini tatizo ni hilohilo tendo hili limekuwa athabu kwangu maana nafanya tu kumlidhisha mpenzi wangu.Mbaya zaidi huwa sipati hamu ya tendo la ndoa hata nikikaa mda mrefu sana bila kuinvolve nalo najisikia tu hamu ya romance na kubembelezwa lakini sex hapana,hii inanipa shida sana kwenye mahusiano maana mpenzi anaweza kuwa ananihitaji mimi wala hata sina mpango nae zaidi naona ananiboa tu.
Naomba nisaidie ninashida ganinaogopa hata kuwazia suala la ndoa maana naona itanishinda.[/QU