Nisaidie tafadhali nimechanganyikiwa.

Nisaidie tafadhali nimechanganyikiwa.

ladypeace ngoja tuone tatizo liko wapi (kwako au kwa mwenzio).

  1. Umekwishawahi ku-masterbate na ukajitolesheleza bila ya mume?
  2. Ushawahi kupata a wet-dream, i.e., unaota kufanya mapenzi mpaka una-squit au uke unakuwa very wet?
  3. Unapokuwa na mpenzi wako na mka-cuddle, kubembelezwa je uke wako una-respond (wetness)?

Ninachotaka kujua ni kuwa are you capable of achieving orgasm?

Hii itasaidia kuona ni njia gani nzuri ya kufuata.

Kunawakati nikiangalia movi au picha ya mapenzi nafeel like having sex na nikijalibu kujitouch ifeel something good how inatokea kama 2second hivi then inapotea kabisa.hata kama my boy akinitouch hutokea the same.

Hii yakuota nimekuwa na kawaida sana ya kuota na fanya mapenzi too badi nawatu naowajua ambao sa ingine ni watu wangu wa karibu ila nikiamka huwa siko wet.

Ndio nikishikwa kimahaba kubembelezwa huwa nasikia hari fulani ya disire ila inayokea kwa mbali mno na ninatumia nguvu na akili nyingi kuivuta hutokea shortly then hupotea.
 
Maombi yatarudisha hisia zako. Hali uliyokuwa nayo si ya kawaida. Sijui nikupe namba ya mtu wa Mungu umpigie akusaidie?

Ntashukuru mpendwa labda huko ntapata msaada.
 
mbona unatuchanya sasa hayo maumivu unayapataje sasa hivi?.khaa mda wote huo

Unajua mtu waweza ficha siri badae ukaamua kusema baada ya kuona hari inakoelekea si shwari mimi ni mdada ambae niko busy sana kwangu mapenzi yamechukua nafasi ndogo sana ndo maana nikachelewa kufahamu niko normal au ninatatizo maana kwa mwaka naweza do one time au 2time.
 
Pole kwa matatizo!ila mimi ninamaswali machache kwako!umetuambia una miaka 29 ila umeanza kudoo mwaka 2004 ukiwa na miaka 24!mpaka hapo umetupiga kamba!!kingine nilisoma thread yako nyingine ukawa unasema una boyfriend wewe ndo unampigia simu na kumuwekea vocha,huwa hakutafuti kabisa usipoanza wewe!anzia kwanza kutafakari hilo la boyfriend why anafanya hivyo!je huwa kweli unaconcentrate unapofanya sx au unawaza tuu orgasm??nijibu kwanza swali langu la kwanza tusije tukawa tunapoteza muda kukushauri kumbe ni story za shigongo hapa

Ndugu yangu sory kama ntakuwa nimekuboa ila kwa sababu mimi ninashida ntaludia mimi naweza kuwa nimekosea nilianza fanya mapenzi nikiwa na umli gani mi ni binadamu but baada ya kuhitimu olevel ndipo nilifanya mapenzi kwa mala ya kwanza.Hilo la pili sijaona linahusiana gani hapa kwani kwasababu ninatatizo sijiinvolve na mapenzi?huu ni ugonjwa it like nimeenda hospotal naongea na doct wapo watu wako kwenye ndoa nahawajui raha ya sex though wameolewa na watoto.Mimi ni mtu mzima na ninaakili timamu siwezi weka uzi hapa kupoteza mda if you can help do it ntakushukuru.
 
Kuna kijiji bhukobha kinaitwa "katerero" unakifahamu? kama jibu ni ndiyo umewahi kukitembelea? kama jibu ni hapana mtafute mtu akupeleke.

Sikifahamu!ok ntaangalia!
 
Kunawakatinikiangalia movi au picha ya mapenzi nafeel like having sex na nikijalibukujitouch ifeel something good how inatokea kama 2second hivi then inapoteakabisa.hata kama my boy akinitouch hutokea the same.

Hii yakuota nimekuwa na kawaida sana ya kuota na fanya mapenzi too badi nawatunaowajua ambao sa ingine ni watu wangu wa karibu ila nikiamka huwa siko wet.

Ndio nikishikwa kimahaba kubembelezwa huwa nasikia hari fulani ya disire ilainayokea kwa mbali mno na ninatumia nguvu na akili nyingi kuivuta hutokeashortly then hupotea.

Dada, Asante sana kwa majibu yako. Ni kweli una tatizo na, kwa maoni yangu, tatizo hili si la mwenzio bali ni la kwako.

Kabla sijakupa ushauri napenda kukufahamisha kuwa asilimia kubwa ya wanawake duniani hawafikii kilele (orgasm) katika tendo la ndoa kwa hiyo huko peke yako. Mara nyingi hili ni tatizo la papara za sisi wanaume na sio la wanawake. Wakati mwingi sisi wanaume kama dushelele letu likisimama tu basi hujali kama mwenzio yuko tayari au la - tunaparamia tu na baada ya dakika moja au mbili (at most) tunachemsha - hoi. Wanawake wengi inabidi wajitosheleze wenyewe (masturbation). Pengine itabidi tutafute muda hapa sisi wanaume (kwa msaada wa wakina mama) tujuzane the art of love making and not just jerking-off.

TATIZO LAKO:
Mimi naona hili tatizo ni la kwako. Nitajaribu kueleza tatizo liko wapi lakini NASISITIZA umuone daktari wako (obstetrics/gynecology doctor) ili aweze kukupima na kukupa ushauri mzuri.

Tatizo lako nadhani ni lile wataalam wanaloliita FOD (Female orgasmic disorder) au taahira ya nyege kwa wanawake. Hili tatizo linaweza kuletwa na sababu kuu mbili. Sababu za kumaumbile (physiological factors) au sababu za kisaikolojia (psychological factors).

TATIZO LA KIMAUMBILE:
Nyege (sexual arousal) hutokea wakati mishipa ya damu kwenye kinena (uke ) ikipanuka na kuruhusu damu nyingi kupita kwenye uke. Hii inafuatiwa na ute kuenea kwenye uke wote na kutoa utelezi (lubrication). Hali hii inaendelea mpaka utakapofikia kilele (orgasm). Wanawake wana bahati kuwa wanaweza kufikia vilele zaidi ya kimoja kwenye tendo moja la ndoa kutegemea alihanjamishwa (excited) kiasi gani mwanzoni.

Hii nyege inaweza kuwa tabu kuipata kama:
· Mishipa ya damu kwenye kinena imeathirika hivyo haileti damu ya kutosha.
· Matatizo ya mishipa ya fahamu (nerves or spinal cord) inayokuja kwenye kinena.
· Side effects ya madawa (kama antidepressants, narcotics, nk.)
· Kukeketwa (ambako umesema hukufanyiwa)

TATIZO LA KISAIKOLOGIA:
Hili kwa kweli ni tatizo gumu sana kulijua au kulitibu kwa sababu kuna vitu vingi sana vinavyoweza kukufanya usipende tendo la ndoa. Vitu vinavyoweza kufanya hali hii ni:
· Matatizo ya maisha (fedha, ajira, shinikizo toka kwa ndugu, shule, nk.)
· Mambo yanayokufanya uone tendo la ndoa kuwa ni uchafu kufuatia KUBAKWA ulipokuwa mtoto au mafundisho ya kidini/kimila uliopata wakati ulipokuwa unakuwa.
· Mental health disorder au depression kubwa.

TIBA:
Kwa sababu si rahisi kujua tatizo lako liko wapi, ushauri wangu ni umuone daktari bingwa wa magonjwa ya wanawake akupe ushauri mzuri.

Samahani sikuweza kukupa tiba ya uhakika. Naomba jumuia inisahihishe ipasavyo kama nimekosea mahala. Lengo ni kupata njia ya kumsaidia mwenzetu.

Nawakilisha.
 
Ntashukuru mpendwa labda huko ntapata msaada.

Poa, mpigie ni mtumishi wa mungu mwenye karama za pekee mweleze shida yako na itaisha.hutaamini 0762248532. Ukifanikiwa tupe feedback.
 
Nahisi kama watu wengi hapa(kama sio wote) wanaongelea orgasm tu.Lakini mimi nilivyomwelewa huyu hajisikii kufanya sexual intercoure.Nijuavyo mimi hivi ni vitu viwili tofauti na si lazima vitegemeane.Kwa mtazamo wangu this thing is more psychological than medical.

Kwa jinsi mwanamke alivyoumbwa ni tofauti kabisa na mwanaume hasa linapokuja jambo la sex.Ni rahisi sana mwanamke ku-inhibit sexual desire aidha kwa kukusudia au unintentional.Kuna sehemu huyu dada amesena yeye kwake sex is not a big deal,right?Je,tutegemee nini ikiwa mtu haoni haja ya kufanya tendo ambalo kwake is not a big deal,na hasa ukitilia maanani kwamba kuna wakati alishawahi kufanya halafu akahisi maumivu? What for,then?

Wewe mdada mimi nakuhakikishia wewe ni mzima kabisa,believe me my dear;ni basi tu hujaamua to let things happen!Tatizo ulilonalo ni kwamba ume-declare failure hata kabla mchezo haujaanza.Wewe unaamini kwamba ni miongoni watu wenye matatizo makubwa sana,which is absolutely wrong.

Umesema umewashirikisha marafiki zako juu ya tatizo hili,kweli ni kawaida yetu kushirikisha watu wetu wa karibu juu ya matatizo yetu,ila kuna wakati ushauri wao unaweza kuwa destructive.Kwa mfano umesema umewahi kuachana na boyfriend wako kwa kudhania kwamba inawezeka yeye ndo ameshindwa kutimiza wajibu wake kwako.Do you know why? Ni kwa sababu pengine ulishaambiwa kwamba ni wajibu wa mwanaume kukuridhisha,which is not always true,na mfano ni katika hii case yako.

Sina hakika kama masterbation will work ktk hii senario,maana how will it elicit feelings(which are already inhibited) ambazo mwezio ambaye unampenda sana ameshindwa kuzisisimua?Pia most of peple wanachukulia masterbation like an evel thing,remember?Katika hili sina hakika sana maana watu wengi wanao tumia masterbation they(most of times)stimulate clitoris,vaginal walls na g-spot(kwa advanced cases) na katika hii senario sina hakika kama boyfriend ameshindwa kustimulate clitoris na vaginal walls,huh!

Ushauri wangu:Just make love for funny,huh! Nakuhakikishia uko perfect kabisa dada.Katika kufuatilia majibu yako ktk maswali nimegundua umekuwa ukifanya makosa mengi bila wewe kujua,ambayo kwa kiasi kikubwa ni sababu tosha kwa failure yako.Usifanye sex kama kitu kikubwa sana ambacho unahitaji kujianda sana,hadi unazima simu! The more you concetrate for sex before sex,is the more likely that you'll fail in sex,huh! Just let it happen,dear.Hii ni sawa na orgasm,the more you anticipate for orgasm,is the more you'll fail to orgam,na hapa ndio watu wengi wanapokosea.Sex is there for you to enjoy sister,and i'm sure you are capable of making it.

Nakuhakikishia ipo siku itakutokea bila kutarajia na utashangaa,na ndipo utakapotambua wewe ni mzima.
 
Hiyo hali yako inawatokea wasichana wengi na ina sababu lukuki, ni kwamba wengine wamekosa ujasiri kama wako na hiyo ni hatua moja positive kwako.
Sasa basi nakushauri ukamwone daktari wa maradhi ya kinamamakwa maana hakuna jibu la moja kwa moja kuhusiana na shida yako ,sababu zinaweza zikawa za kimaubile,kisaikolojia au hormonal.
All the best!
 
supu kunywa kabakuli kamoja kamoja tu,pendelea sana ila inaotengenezwa na wapembapande za magomeni pale,au mwenge,daa hata mi mpwiati nausikia tuu,jaribu kuulizia kwa wale wauza madawa ya kienyeji usiende kwa waganga,kuna maduka ya dawa za kienyeji just ulizia watakupatia

Just to caution you kumbuka afya yako ni muhimu zaidi kuliko hiyo kitu, so angalia ni ktu gani unataka tumia before.
 
Siku hizi kina dada wengi wanaathirika kimapenzi na majini mahaba.fanya maombi ndio tiba pekee YESU ni jibu. Amini Umepona.
 
Dada, Asante sana kwa majibu yako. Ni kweli una tatizo na, kwa maoni yangu, tatizo hili si la mwenzio bali ni la kwako.

Kabla sijakupa ushauri napenda kukufahamisha kuwa asilimia kubwa ya wanawake duniani hawafikii kilele (orgasm) katika tendo la ndoa kwa hiyo huko peke yako. Mara nyingi hili ni tatizo la papara za sisi wanaume na sio la wanawake. Wakati mwingi sisi wanaume kama dushelele letu likisimama tu basi hujali kama mwenzio yuko tayari au la - tunaparamia tu na baada ya dakika moja au mbili (at most) tunachemsha - hoi. Wanawake wengi inabidi wajitosheleze wenyewe (masturbation). Pengine itabidi tutafute muda hapa sisi wanaume (kwa msaada wa wakina mama) tujuzane the art of love making and not just jerking-off.

TATIZO LAKO:
Mimi naona hili tatizo ni la kwako. Nitajaribu kueleza tatizo liko wapi lakini NASISITIZA umuone daktari wako (obstetrics/gynecology doctor) ili aweze kukupima na kukupa ushauri mzuri.

Tatizo lako nadhani ni lile wataalam wanaloliita FOD (Female orgasmic disorder) au taahira ya nyege kwa wanawake. Hili tatizo linaweza kuletwa na sababu kuu mbili. Sababu za kumaumbile (physiological factors) au sababu za kisaikolojia (psychological factors).

TATIZO LA KIMAUMBILE:
Nyege (sexual arousal) hutokea wakati mishipa ya damu kwenye kinena (uke ) ikipanuka na kuruhusu damu nyingi kupita kwenye uke. Hii inafuatiwa na ute kuenea kwenye uke wote na kutoa utelezi (lubrication). Hali hii inaendelea mpaka utakapofikia kilele (orgasm). Wanawake wana bahati kuwa wanaweza kufikia vilele zaidi ya kimoja kwenye tendo moja la ndoa kutegemea alihanjamishwa (excited) kiasi gani mwanzoni.

Hii nyege inaweza kuwa tabu kuipata kama:
· Mishipa ya damu kwenye kinena imeathirika hivyo haileti damu ya kutosha.
· Matatizo ya mishipa ya fahamu (nerves or spinal cord) inayokuja kwenye kinena.
· Side effects ya madawa (kama antidepressants, narcotics, nk.)
· Kukeketwa (ambako umesema hukufanyiwa)

TATIZO LA KISAIKOLOGIA:
Hili kwa kweli ni tatizo gumu sana kulijua au kulitibu kwa sababu kuna vitu vingi sana vinavyoweza kukufanya usipende tendo la ndoa. Vitu vinavyoweza kufanya hali hii ni:
· Matatizo ya maisha (fedha, ajira, shinikizo toka kwa ndugu, shule, nk.)
· Mambo yanayokufanya uone tendo la ndoa kuwa ni uchafu kufuatia KUBAKWA ulipokuwa mtoto au mafundisho ya kidini/kimila uliopata wakati ulipokuwa unakuwa.
· Mental health disorder au depression kubwa.

TIBA:
Kwa sababu si rahisi kujua tatizo lako liko wapi, ushauri wangu ni umuone daktari bingwa wa magonjwa ya wanawake akupe ushauri mzuri.

Samahani sikuweza kukupa tiba ya uhakika. Naomba jumuia inisahihishe ipasavyo kama nimekosea mahala. Lengo ni kupata njia ya kumsaidia mwenzetu.

Nawakilisha.

Asante kaka kwa ushauli na maelezo mazuri nimekuelewa vizuri naahidi kuyafanyia kazi yote na ntaleta humu janvini feedback .ila nimgeomba msaada wa membar yoyote anaemjua dactari wa kunisaidia anisaidie jinsi ya kumpata.
Asante tena.
 
Siku hizi kina dada wengi wanaathirika kimapenzi na majini mahaba.fanya maombi ndio tiba pekee YESU ni jibu. Amini Umepona.

Asante Ngoshwe nafanya kaka sijakoma hata siku moja naomba nisaidieni nanyi pia.
 
Come on!!!! Kuna mtu ame suggest hapo juu kuwa eti huyu dada amwombe Mungu ampe hamu! Jamani jamani!!! Mungu atafanya vingapi na binadamu atafanya kipi kwaajili yake? Uumbaji pekee unatosha kumshukuru Mungu! Unataka kumwomba Mungu hata nyege!! Shit! This is more than too much!! Huyo mdada ajifunze tu kujiachia kwa jamaa yake, atekenywe vizuri na mambo yake yatanyooka! Akitegemea Malaika aje amtekenye atajiju!!!
 
ladypeace wewe umetusaidia,hata sisi sa tunaweza kutoa dozi kwa uhakika na kuacha papara maana tunaowatwanga wengi hawasemi kama hawajafikishwa sasa atleast unaweza kujua nimemfikisha au bado ukiangalia kabumbwi lilivyoenda
 
Back
Top Bottom