Nahisi kama watu wengi hapa(kama sio wote) wanaongelea orgasm tu.Lakini mimi nilivyomwelewa huyu hajisikii kufanya sexual intercoure.Nijuavyo mimi hivi ni vitu viwili tofauti na si lazima vitegemeane.Kwa mtazamo wangu this thing is more psychological than medical.
Kwa jinsi mwanamke alivyoumbwa ni tofauti kabisa na mwanaume hasa linapokuja jambo la sex.Ni rahisi sana mwanamke ku-inhibit sexual desire aidha kwa kukusudia au unintentional.Kuna sehemu huyu dada amesena yeye kwake sex is not a big deal,right?Je,tutegemee nini ikiwa mtu haoni haja ya kufanya tendo ambalo kwake is not a big deal,na hasa ukitilia maanani kwamba kuna wakati alishawahi kufanya halafu akahisi maumivu? What for,then?
Wewe mdada mimi nakuhakikishia wewe ni mzima kabisa,believe me my dear;ni basi tu hujaamua to let things happen!Tatizo ulilonalo ni kwamba ume-declare failure hata kabla mchezo haujaanza.Wewe unaamini kwamba ni miongoni watu wenye matatizo makubwa sana,which is absolutely wrong.
Umesema umewashirikisha marafiki zako juu ya tatizo hili,kweli ni kawaida yetu kushirikisha watu wetu wa karibu juu ya matatizo yetu,ila kuna wakati ushauri wao unaweza kuwa destructive.Kwa mfano umesema umewahi kuachana na boyfriend wako kwa kudhania kwamba inawezeka yeye ndo ameshindwa kutimiza wajibu wake kwako.Do you know why? Ni kwa sababu pengine ulishaambiwa kwamba ni wajibu wa mwanaume kukuridhisha,which is not always true,na mfano ni katika hii case yako.
Sina hakika kama masterbation will work ktk hii senario,maana how will it elicit feelings(which are already inhibited) ambazo mwezio ambaye unampenda sana ameshindwa kuzisisimua?Pia most of peple wanachukulia masterbation like an evel thing,remember?Katika hili sina hakika sana maana watu wengi wanao tumia masterbation they(most of times)stimulate clitoris,vaginal walls na g-spot(kwa advanced cases) na katika hii senario sina hakika kama boyfriend ameshindwa kustimulate clitoris na vaginal walls,huh!
Ushauri wangu:Just make love for funny,huh! Nakuhakikishia uko perfect kabisa dada.Katika kufuatilia majibu yako ktk maswali nimegundua umekuwa ukifanya makosa mengi bila wewe kujua,ambayo kwa kiasi kikubwa ni sababu tosha kwa failure yako.Usifanye sex kama kitu kikubwa sana ambacho unahitaji kujianda sana,hadi unazima simu! The more you concetrate for sex before sex,is the more likely that you'll fail in sex,huh! Just let it happen,dear.Hii ni sawa na orgasm,the more you anticipate for orgasm,is the more you'll fail to orgam,na hapa ndio watu wengi wanapokosea.Sex is there for you to enjoy sister,and i'm sure you are capable of making it.
Nakuhakikishia ipo siku itakutokea bila kutarajia na utashangaa,na ndipo utakapotambua wewe ni mzima.