Nisaidie ujauzito unanitesa

Nisaidie ujauzito unanitesa

Turufuu

Senior Member
Joined
Dec 27, 2013
Posts
182
Reaction score
54
Dada yangu ni mjamzito wa miez8 tatizo kaambiwa fuko la uzaz limeshuka sana, halaf kama wiki hivi anahisi maumivu ya kiuno kama ametunza taka (majipu) na chini ya kitov na K vinauma sana, je ni kawaida ya ujauzito au ni tatizo ?

Ni mimba yake ya kwanza nimempeleka kwa dokta kamkanda then kamwambia tarehe 20.7 niende nae tena na mtoto amesha geuka, naomb msaada wenu waungwana.

Natanguliza shukran

IWISH YOU SWAUMU MAQ-BUL.
 
Kama ni wewe ni Mkristo chukuwa maji uwe unayasomea dua hii kisha unampa mgonjwa awe anakunywa kila siku mpaka siku ya kuonana na Daktari wako Kwa afya nzuri,Somea ( Zaburi 67 au 92) Au kama wewe ni Muislam mtafute mtu ayasomee maji Quran Sura ya36 Aya ya 35 mpaka aya ya 39 ayasomee maji mara 7 kisha achanganye na maji mengine yawe chupa 1 awe anakunywa kila siku glasi 1 kwa muda wa siku 7 matatizo yataondoka inshallah. Na pia uwe unampa Tende au Asali kijiko 1 kila siku itamrahisha kutulia huyo mtoto tumboni. Tiba mbadala hizo.

MziziMkavu msaada wako mkuu kwa huyu ndugu
Mkuu Mokoyo hujambo lakini?
 
Back
Top Bottom