Jasho la Damu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 956
- 120
- Thread starter
-
- #41
Ushauri mzuri ila si unajua wakubwa Serikalini wanavyolindana.tafuta simu inayorekodi na urekodi matukio yote hayo na kisha mteme kwani umri wako bado mdogo na urekodi video kwa kuweka simu kwenye mfuko wako wa shati jepepesi akianza visa rekodi akitishia kukufukuza kazi mpeleke ngazi husika.MAISHA NI MSIMAMO pole sana
Du wewe ndo unaniongezea stress.Kuna mambo ya kuzingatia kama afya, nafaida ya baadae. ila uchaguzi ni wako kazi au mke coz kazi nzuri =mke mzuri. kazi hakuna=mke kicheche. akili kumkichwa
Haya sasa matusi nitamuita Paw muda si mrefu.Hapa tupo pamoja ila nina shaka sijui kama keshawai kulala kwenye 6x6 maana washazoea vitanda vya ngozi.
mkuu na wewe iyo dawa ulioteshwa nn kama babu?Kapime nae HIV,kama yupo fresh kunywa VALUU+KARANGA MBICHI+MCHUZI WA PWEZA!! Then Ingia Nae on 6x6!! halafu uje kutupa jibu lake
he he hee@Mmasai Paw me ndo muajiri wake kama naye hataki kazi ajaribu kuniban aone. Kula huyo mama acha mambo yako ya umasaini utakufa maskini Tz hapa shauri yako.Haya sasa matusi nitamuita Paw muda si mrefu.
Hizo dawa mbona zipo sana au unataka mpaka atengeneze mchina.mkuu na wewe iyo dawa ulioteshwa nn kama babu?
Haya kaka umeshinda wewehe he hee@Mmasai Paw me ndo muajiri wake kama naye hataki kazi ajaribu kuniban aone. Kula huyo mama acha mambo yako ya umasaini utakufa maskini Tz hapa shauri yako.
Hamna mkuu sijamis chochote kutoka kwa huyo mama ila mkuu si unajua Serikali yetu ilivyo.Bro umeajiriwa na serikali co huyo mama wewe fanya kazi. Nahadi amegundua una mtu na mmefika that far safi sana. Just ignore her,au umemiss anavyokushikashika? Achana nae asipoitika kwani ni mama yako mzazi? Do wht ur suppose to do,I hope mkeo mtarajiwa anajua hii stori
Simtaki ila tatizo ni namna ya kumkataa coz yeye ni bosi wangu ndo maana nikaomba ushauri hapa. Sababu ya kubwa ya kumkataa ni kwamba sina feelings zozote juu yake.Sijajua kama humtaki ama vipi!Na kama humtaki nini kinakufanya umkatae?Sababu ya msingi itakufanya upate jibu na mahali pa kusimamia!
Babu wa loliondo yupo.Hey,brother si unajua sasa hivi kuna ngoma.whatch ur self bro.