Nisaidien Jamani!!!

Nisaidien Jamani!!!

tafuta simu inayorekodi na urekodi matukio yote hayo na kisha mteme kwani umri wako bado mdogo na urekodi video kwa kuweka simu kwenye mfuko wako wa shati jepepesi akianza visa rekodi akitishia kukufukuza kazi mpeleke ngazi husika.MAISHA NI MSIMAMO pole sana
Ushauri mzuri ila si unajua wakubwa Serikalini wanavyolindana.
 
Kuna mambo ya kuzingatia kama afya, nafaida ya baadae. ila uchaguzi ni wako kazi au mke coz kazi nzuri =mke mzuri. kazi hakuna=mke kicheche. akili kumkichwa
Du wewe ndo unaniongezea stress.
 
Bro umeajiriwa na serikali co huyo mama wewe fanya kazi. Nahadi amegundua una mtu na mmefika that far safi sana. Just ignore her,au umemiss anavyokushikashika? Achana nae asipoitika kwani ni mama yako mzazi? Do wht ur suppose to do,I hope mkeo mtarajiwa anajua hii stori
 
Haya sasa matusi nitamuita Paw muda si mrefu.
he he hee@Mmasai Paw me ndo muajiri wake kama naye hataki kazi ajaribu kuniban aone. Kula huyo mama acha mambo yako ya umasaini utakufa maskini Tz hapa shauri yako.
 
Bro umeajiriwa na serikali co huyo mama wewe fanya kazi. Nahadi amegundua una mtu na mmefika that far safi sana. Just ignore her,au umemiss anavyokushikashika? Achana nae asipoitika kwani ni mama yako mzazi? Do wht ur suppose to do,I hope mkeo mtarajiwa anajua hii stori
Hamna mkuu sijamis chochote kutoka kwa huyo mama ila mkuu si unajua Serikali yetu ilivyo.
 
Sijajua kama humtaki ama vipi!Na kama humtaki nini kinakufanya umkatae?Sababu ya msingi itakufanya upate jibu na mahali pa kusimamia!
Simtaki ila tatizo ni namna ya kumkataa coz yeye ni bosi wangu ndo maana nikaomba ushauri hapa. Sababu ya kubwa ya kumkataa ni kwamba sina feelings zozote juu yake.
 
WanaJF
Nashukuru sana kwa ushauri wenu kila aliyenishauri niliuchukua ushauri wake kwa uzito wa kipekee leo napenda kuwafahamisha uamuzi niliochukua. Nimeamua kupeleka matatizo haya kwa Mkurugenzi Mtendaji ili nipate soln na Mkurugenzi kanipromise atalishughulikia lkn kwa tetesi zilizopo Mkurugenzi naye yupo katika mbio za kumfukuzia kimapenzi huyu mama sasa sijui kama haki itatendeka. Ni hayo tu waku Ahsanten sana.
 
he he he hee Mmasai huna bahati me nilikwambia piga huo mzigo we unaremba ona sasa wajanja wanavyoufukuzia. hapo kitakachofanyika Mkurugenzi atapewa penzi tena kwa raha zote halafu wewe utapewa tuhuma za kusema uongo baadae barua tatu na kazi huna. hakuna haki hapo lazima ile kwako. utaenda kuchunga ng'ombe safari hii.
 
we mmasai boya sana ngoja mkurugenz apewe mambo halafu uone. nyau we.
 
Tatizo la kuwa na boss headteacher wote mnakaa quarter za shule, ka vip kapange mtaani then atacha visa vya soda usiku!
 
Back
Top Bottom