Nisaidien nifanye nn ili aniache na maisha yangu

Your very wrong coz tangu nimeachana nae wala sijaonana nae tena na hata anavyonifatilia sijawahi kumuona zaidi ya anavyotuma msg basi,na wala simu-entertain kwa lolote kwan wala sijajibizana nae hata cku moja.

...okey, nilikuomba samahani kabla, unakumbuka?

well,...huna la kumfanya...WEWE ENDELEA NA MAISHA YAKO.. huyo b'friend mliyeachana nae sasa ni woga wake tu,
kama angekuwa anakupenda ki ukweli, angekulinda na mngeendelea na mapenzi yenu. both of them don't worth your precious love.
 
Nimekuelewa mkuu,asante kwa ushauri.
 
mpendwa usikute anakufuatilia yumkini uliondoka na vitu vyake au alikugharamikia sana, as hata mie nilisumbuliwa sn km ww at the same time alikuwa na mtu mwingine bt alikuwa anafuatilia nyendo zangu. alichokosea alimwambia rafiki yake atahakikisha ananiharibia kufidia gharama zake!! alizonigharamia tukiwa pamoja. nilipojua hivyo nilikusanya kila alichonipa nikampelekea akapunguza kunifuatilia then kila mtu na lwake ss yy kaoa nami nikaolewa. ni ushauri tu.
 
cha msingi mpuuzie tu.usijibu sms yake hata moja wala huna haja ya kumsumbua mkewe kwa kumtumia meseji.just ignore him completly hatimae atajiona **** ****.tena mdengulie kupita mfano.na uzidishe kuwa mrembo maradufu.
 
cha msingi mpuuzie tu.usijibu sms yake hata moja wala huna haja ya kumsumbua mkewe kwa kumtumia meseji.just ignore him completly hatimae atajiona **** ****.tena mdengulie kupita mfano.na uzidishe kuwa mrembo maradufu.
Asante mdau.
 
ni pombe tu zilisababbisha mkaachana?? inaonekana hakuwa tayari kuachana na ww ila maadamu imetokea ni swala rahisi sana labda uwe muoga... kwanza toa taarifa polisi kuhusu kutishiwa na apewe mipaka 2. mweleze mkwewe kuhusu hilo 3. kwa mpenzi wako yoyote mpya mweleze kila kitu kuhusu hilo chukua hatua sasa usingije kesho
 
Asante Tessa wala hana anachodai usumbufu tu na ndio maana mwanzon hakunisumbua mpaka akaoa kaibuka tu from no where na huu upuuzi wake.
 
Dawa ya moto ni moto, nafikiri kama alivosema mwenzetu hapo juu, mwambie mkewe ili nae akione cha moto tena mwambie amtulize mumewe nyumbani asikusumbue, angekuwa anakupenda si angekuoa hana lolote huyo
 
ripoti police maana ameshakutishia na inabidi umwambie live kuwa akae mbali nawe kwani hamna mahusiano nae ya aina yoyote,kwani tayari nae ana wake.husimwendekeza!
 
Dawa ya moto ni moto, nafikiri kama alivosema mwenzetu hapo juu, mwambie mkewe ili nae akione cha moto tena mwambie amtulize mumewe nyumbani asikusumbue, angekuwa anakupenda si angekuoa hana lolote huyo
Shantel mawazo yenu yalikuwa muhimu sana kabla sijaanza kudeal nae,asante kwa ushauri.
 
ripoti police maana ameshakutishia na inabidi umwambie live kuwa akae mbali nawe kwani hamna mahusiano nae ya aina yoyote,kwani tayari nae ana wake.husimwendekeza!
Katu sitamwendekeza lzm ifike mahali kila mtu awe huru na maisha yake.
 

ilo ndo jibu sahihi analotakiwa kumpa.mtu ashaoa anataka akufanye mke wa pili?
 
You are very right kwenda kwa mkewe hakutakusaidia sana sana kutakuongezea maadui; kwani hakujuhi hence ni rahisi kukubali utetezi wa kiongo wa mumewe na huwezi jua mumewe atajiteteaje; usije kuwekwa kwenye wanted list ya wife wake buree.

Dili nae kisheria zaidi.


 
Simple tu mpe kubwa akizingua tafuta mtu ujifanye unadate baye akimfuata anampa za kikauzu sidhani kama atakucezea tena.
 
achana nae. we imagin you are a star na yeye ni obsessed fan. si unawajua wale mashabiki wanawapenda star, anakaa tu maisha yake yote kumfatilia mara amebadilisha mpenzi, mara amevaa vibaya ila star mwenyewe hana time anaendelea na maisha? basi ndio hivo. na kama kweli analeta kero mripoti polisi ila uache polisi wafwatilie kesi, we endelea na maisha yako coz you have so many other fans!
 
Wewe ni kimeo tena ambacho hakina akili eti unadhubutu kusema umeachana nae kwa sababu ya ulevi? Kama mwanzoni hakuwa mlevi ni nini kilimfanya mlevi? Mwanamke sifa yako ni kumbadilisha mwanaume . Haya tabiri zangu zinaniambia utapata mme ila ni malaya. Sijui utamuacha tena? Saa si utakuwa huna dhamani tena! Sorry
 
Mmeachana mwaka na miezi 5 tayari msela keshavuta kitu na kuweka ndani mazima? Halafu bado anakuzingua kihivyo? Huyo mbona ni mbabaikaji waziwazi. Endelea na maisha yako, akikuletea kitisho ripoti polisi, huruma haitakusaidia chochote maana msela mwenyewe hana huruma kwako wala nini. Hakuna haja ya kuhusisha mkewe maana hahusiki na ufirauni wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…