Wewe ni mtabiri???Wewe ni kimeo tena ambacho hakina akili eti unadhubutu kusema umeachana nae kwa sababu ya ulevi? Kama mwanzoni hakuwa mlevi ni nini kilimfanya mlevi? Mwanamke sifa yako ni kumbadilisha mwanaume . Haya tabiri zangu zinaniambia utapata mme ila ni malaya. Sijui utamuacha tena? Saa si utakuwa huna dhamani tena! Sorry
Wewe ni mtabiri???
Uko sahihi kbs mkuu,asane nimekusoma.achana nae. we imagin you are a star na yeye ni obsessed fan. si unawajua wale mashabiki wanawapenda star, anakaa tu maisha yake yote kumfatilia mara amebadilisha mpenzi, mara amevaa vibaya ila star mwenyewe hana time anaendelea na maisha? basi ndio hivo. na kama kweli analeta kero mripoti polisi ila uache polisi wafwatilie kesi, we endelea na maisha yako coz you have so many other fans!
Ungeuliza kwanza kabla ya kutoa povu,ulevi unasababisha mengi kuliko unavyofikiri na baada ya kupata hela ndio akawa hivyo km ameshindwa kuwasilikiliza waliomzaa itakuwa mie aliyekuwa nanipa kibano kila ninapoongelea hiyo ishu!na sio aina ya mtu niliyekuwa nikimtaka maishan ndio maana sikuona sababu ya kupoteza mda zaidi na kusepa.Wewe ni kimeo tena ambacho hakina akili eti unadhubutu kusema umeachana nae kwa sababu ya ulevi? Kama mwanzoni hakuwa mlevi ni nini kilimfanya mlevi? Mwanamke sifa yako ni kumbadilisha mwanaume . Haya tabiri zangu zinaniambia utapata mme ila ni malaya. Sijui utamuacha tena? Saa si utakuwa huna dhamani tena! Sorry
Thx uko sahihi mkuu, asante kwa ushauri.GT wamekupa ushauri mzuri sana tunza hizo sms, another thing usimuonyeshe actions zake zina kuzuia ww kuendelea na maisha yako, si keshaoa wa nn huyo! Ukienda kumuambia mkewe we ladies we know each other when it comes kwenye issue ya mwanaume unayempenda we alwayz sideline naye no matter what, hata ikimaanisha mama mzazi anakanwa, so play silence, usijibu chochote, usiende kwa rafiki yoyote wala mzazi wake yaani fanya kama its not in ur to do list, mwisho wa siku atajiona mjinga kumfuatlia mtu ambaye hamna return. Usitafute reconciliation eti mkae chini muongee sasa muongee nn? Achana naye namaanisha potezea as if haexist. Mtu akiwa anafanya vituko halafu ww in one way or another una tafuta compromise naye anaona kumbe he can make an impact so anaendelea, inawezekana ni fantasy yake sometimes or he needs ur attention so do nt give him.
Well said mama kigogo, nenda kamweleze mkewe huo upuuzi wake na hakikisha kila msg anazokutumia unampelekea mkewe aone
Asante kwa ushauri Mtu B.Mmeachana mwaka na miezi 5 tayari msela keshavuta kitu na kuweka ndani mazima? Halafu bado anakuzingua kihivyo? Huyo mbona ni mbabaikaji waziwazi. Endelea na maisha yako, akikuletea kitisho ripoti polisi, huruma haitakusaidia chochote maana msela mwenyewe hana huruma kwako wala nini. Hakuna haja ya kuhusisha mkewe maana hahusiki na ufirauni wake.
Mwenzangu hata mie namshangaa,nashukuru kwa ushauri mkuu.Pole Cantalysia (mama Salvadoo ..joking). Kwa kweli inasikitisha sana watu wengine sijui ni WACHAWI. Nafikiri unahitaji kuwa makini sana coz hujui huyo jamaa ni kitu gani kina mpa jeuri ya kukupa vitisho vyote hivyo. Badilisha namba ya simu ( au block namba yake km wanavyoshauri wadau), kama ukiweza hama maeneo unayoishi kama anayafahamu. Usisahau kumwomba Mungu pia.
Asante kwa ushauri Mafra.NAWEZA KUSEMA HUYU JAMAA NI MPUUZI TENA SANA.INAHUSU NINI KUKUTISHIA WAKATI MLISHAACHANA? AU HUYO ALIYEMUOA ANAMUONA MWANASESERE? KWANZA ANAONEKANA HANA REAL LOVE.ANGEKUWA NAYO ASIINGELEA KUHANGAIKA.<br>DAWA YAKE NI KAMA WALIVYO SUGGEST WENZANGU:<br>1. TOA TAARIFA POLISI INCASE OF ANYTHING<br>2. MWELEZE MKEWE ILI AKOME NA LITABIA LAKE HILO
Naweza kusema huyu jamaa ni mpuuzi tena sana.inahusu nini kukutishia wakati mlishaachana? Au huyo aliyemuoa anamuona mwanasesere? Kwanza anaonekana hana real love.angekuwa nayo asiingelea kuhangaika.
Dawa yake ni kama walivyo suggest wenzangu:
1. Toa taarifa polisi incase of anything
2. Mweleze mkewe ili akome na litabia lake hilo
Umeona eee, asante mkuu nimekupata vizuri.kiumbe mwanaume siku zote huw hatosheki ameshaoa sasa wivu wa nini mi nakushauri mpekele mbele ya sheria huyo...hawa ni wale tunaowaita vinganganizi wa mapenzi...
kweli wewe cantalisia haswaaaUngeuliza kwanza kabla ya kutoa povu,ulevi unasababisha mengi kuliko unavyofikiri na baada ya kupata hela ndio akawa hivyo km ameshindwa kuwasilikiliza waliomzaa itakuwa mie aliyekuwa nanipa kibano kila ninapoongelea hiyo ishu!na sio aina ya mtu niliyekuwa nikimtaka maishan ndio maana sikuona sababu ya kupoteza mda zaidi na kusepa.