Nisaidien nifanye nn ili aniache na maisha yangu

Wewe ni kimeo tena ambacho hakina akili eti unadhubutu kusema umeachana nae kwa sababu ya ulevi? Kama mwanzoni hakuwa mlevi ni nini kilimfanya mlevi? Mwanamke sifa yako ni kumbadilisha mwanaume . Haya tabiri zangu zinaniambia utapata mme ila ni malaya. Sijui utamuacha tena? Saa si utakuwa huna dhamani tena! Sorry
Wewe ni mtabiri???

GT wamekupa ushauri mzuri sana tunza hizo sms, another thing usimuonyeshe actions zake zina kuzuia ww kuendelea na maisha yako, si keshaoa wa nn huyo! Ukienda kumuambia mkewe we ladies we know each other when it comes kwenye issue ya mwanaume unayempenda we alwayz sideline naye no matter what, hata ikimaanisha mama mzazi anakanwa, so play silence, usijibu chochote, usiende kwa rafiki yoyote wala mzazi wake yaani fanya kama its not in ur to do list, mwisho wa siku atajiona mjinga kumfuatlia mtu ambaye hamna return. Usitafute reconciliation eti mkae chini muongee sasa muongee nn? Achana naye namaanisha potezea as if haexist. Mtu akiwa anafanya vituko halafu ww in one way or another una tafuta compromise naye anaona kumbe he can make an impact so anaendelea, inawezekana ni fantasy yake sometimes or he needs ur attention so do nt give him.

achana nae. we imagin you are a star na yeye ni obsessed fan. si unawajua wale mashabiki wanawapenda star, anakaa tu maisha yake yote kumfatilia mara amebadilisha mpenzi, mara amevaa vibaya ila star mwenyewe hana time anaendelea na maisha? basi ndio hivo. na kama kweli analeta kero mripoti polisi ila uache polisi wafwatilie kesi, we endelea na maisha yako coz you have so many other fans!
Uko sahihi kbs mkuu,asane nimekusoma.

Wewe ni kimeo tena ambacho hakina akili eti unadhubutu kusema umeachana nae kwa sababu ya ulevi? Kama mwanzoni hakuwa mlevi ni nini kilimfanya mlevi? Mwanamke sifa yako ni kumbadilisha mwanaume . Haya tabiri zangu zinaniambia utapata mme ila ni malaya. Sijui utamuacha tena? Saa si utakuwa huna dhamani tena! Sorry
Ungeuliza kwanza kabla ya kutoa povu,ulevi unasababisha mengi kuliko unavyofikiri na baada ya kupata hela ndio akawa hivyo km ameshindwa kuwasilikiliza waliomzaa itakuwa mie aliyekuwa nanipa kibano kila ninapoongelea hiyo ishu!na sio aina ya mtu niliyekuwa nikimtaka maishan ndio maana sikuona sababu ya kupoteza mda zaidi na kusepa.

GT wamekupa ushauri mzuri sana tunza hizo sms, another thing usimuonyeshe actions zake zina kuzuia ww kuendelea na maisha yako, si keshaoa wa nn huyo! Ukienda kumuambia mkewe we ladies we know each other when it comes kwenye issue ya mwanaume unayempenda we alwayz sideline naye no matter what, hata ikimaanisha mama mzazi anakanwa, so play silence, usijibu chochote, usiende kwa rafiki yoyote wala mzazi wake yaani fanya kama its not in ur to do list, mwisho wa siku atajiona mjinga kumfuatlia mtu ambaye hamna return. Usitafute reconciliation eti mkae chini muongee sasa muongee nn? Achana naye namaanisha potezea as if haexist. Mtu akiwa anafanya vituko halafu ww in one way or another una tafuta compromise naye anaona kumbe he can make an impact so anaendelea, inawezekana ni fantasy yake sometimes or he needs ur attention so do nt give him.
Thx uko sahihi mkuu, asante kwa ushauri.

Naweza kusema huyu jamaa ni mpuuzi tena sana.inahusu nini kukutishia wakati mlishaachana? Au huyo aliyemuoa anamuona mwanasesere? Kwanza anaonekana hana real love.angekuwa nayo asiingelea kuhangaika.
Dawa yake ni kama walivyo suggest wenzangu:
1. Toa taarifa polisi incase of anything
2. Mweleze mkewe ili akome na litabia lake hilo

NAWEZA KUSEMA HUYU JAMAA NI MPUUZI TENA SANA.INAHUSU NINI KUKUTISHIA WAKATI MLISHAACHANA? AU HUYO ALIYEMUOA ANAMUONA MWANASESERE? KWANZA ANAONEKANA HANA REAL LOVE.ANGEKUWA NAYO ASIINGELEA KUHANGAIKA.
DAWA YAKE NI KAMA WALIVYO SUGGEST WENZANGU:
1.  TOA TAARIFA POLISI INCASE OF ANYTHING
2.  MWELEZE MKEWE ILI AKOME NA LITABIA LAKE HILO

Pole Cantalysia (mama Salvadoo ..joking). Kwa kweli inasikitisha sana watu wengine sijui ni WACHAWI. Nafikiri unahitaji kuwa makini sana coz hujui huyo jamaa ni kitu gani kina mpa jeuri ya kukupa vitisho vyote hivyo. Badilisha namba ya simu ( au block namba yake km wanavyoshauri wadau), kama ukiweza hama maeneo unayoishi kama anayafahamu. Usisahau kumwomba Mungu pia.

Mmeachana mwaka na miezi 5 tayari msela keshavuta kitu na kuweka ndani mazima? Halafu bado anakuzingua kihivyo? Huyo mbona ni mbabaikaji waziwazi. Endelea na maisha yako, akikuletea kitisho ripoti polisi, huruma haitakusaidia chochote maana msela mwenyewe hana huruma kwako wala nini. Hakuna haja ya kuhusisha mkewe maana hahusiki na ufirauni wake.
Asante kwa ushauri Mtu B.

Pole Cantalysia (mama Salvadoo ..joking). Kwa kweli inasikitisha sana watu wengine sijui ni WACHAWI. Nafikiri unahitaji kuwa makini sana coz hujui huyo jamaa ni kitu gani kina mpa jeuri ya kukupa vitisho vyote hivyo. Badilisha namba ya simu ( au block namba yake km wanavyoshauri wadau), kama ukiweza hama maeneo unayoishi kama anayafahamu. Usisahau kumwomba Mungu pia.
Mwenzangu hata mie namshangaa,nashukuru kwa ushauri mkuu.

NAWEZA KUSEMA HUYU JAMAA NI MPUUZI TENA SANA.INAHUSU NINI KUKUTISHIA WAKATI MLISHAACHANA? AU HUYO ALIYEMUOA ANAMUONA MWANASESERE? KWANZA ANAONEKANA HANA REAL LOVE.ANGEKUWA NAYO ASIINGELEA KUHANGAIKA.
DAWA YAKE NI KAMA WALIVYO SUGGEST WENZANGU:
1.  TOA TAARIFA POLISI INCASE OF ANYTHING
2.  MWELEZE MKEWE ILI AKOME NA LITABIA LAKE HILO
Asante kwa ushauri Mafra.

kiumbe mwanaume siku zote huw hatosheki ameshaoa sasa wivu wa nini mi nakushauri mpekele mbele ya sheria huyo...hawa ni wale tunaowaita vinganganizi wa mapenzi...

Naweza kusema huyu jamaa ni mpuuzi tena sana.inahusu nini kukutishia wakati mlishaachana? Au huyo aliyemuoa anamuona mwanasesere? Kwanza anaonekana hana real love.angekuwa nayo asiingelea kuhangaika.
Dawa yake ni kama walivyo suggest wenzangu:
1. Toa taarifa polisi incase of anything
2. Mweleze mkewe ili akome na litabia lake hilo

hapo haitakuwa sahihi kwani tatizo ni la huyu dada na huyo jamaa .. kwa nini uhusishe watu zaidi na wasiohusika japo inaweza kuwa sahihi au si sahihi kwa madhara ya kumshirikisha yatakuwaje??

kiumbe mwanaume siku zote huw hatosheki ameshaoa sasa wivu wa nini mi nakushauri mpekele mbele ya sheria huyo...hawa ni wale tunaowaita vinganganizi wa mapenzi...
Umeona eee, asante mkuu nimekupata vizuri.

Ungeuliza kwanza kabla ya kutoa povu,ulevi unasababisha mengi kuliko unavyofikiri na baada ya kupata hela ndio akawa hivyo km ameshindwa kuwasilikiliza waliomzaa itakuwa mie aliyekuwa nanipa kibano kila ninapoongelea hiyo ishu!na sio aina ya mtu niliyekuwa nikimtaka maishan ndio maana sikuona sababu ya kupoteza mda zaidi na kusepa.
kweli wewe cantalisia haswaaa

Mtumie rafiki yako yeye ndo aongeenae kupitia sim yake hafu mpange dili akitokea usimkopeshe,mpe "live"

Mwambie aache kukutishatisha, kama mliachana aenddelee na maisha yake na ww uwe huru.

Huyo jamaa mandaz 2 coz ananguv ya soda angekuwa bwana konyagi angekuja kwen ktoa posa uwe mke wa 2 na hapo ungemuaibishia kanisani Padr aksema Cantelzia unammindi hy dudumiz lililokosa wachuuz ww unajb climaindi kishenz kwanz dak so litakuwa kic n tok mimi la nin? Yangu ndo hayo2.....ACHANA NALO WE FANYA YAKO

Back
Top Bottom