Nisaidieni: 5mil Kuanzia biashara



Je Mungu yuko kwenye nafasi ipi? jifunze kumtanguliza Mungu kama Waszayuni.
 
Kaa chini na utulie m5 ni ndogo kutokana ali ya kibiashara ilivyo sa ivi
je ktk mawazo yako unafikiri unaweza kufanya biashara gani couse zipo nyingi
 
its very true,mm ni msichana muhangaikaji wen it comes kutafuta chapaa,nauza laptops,perfume,nguo,kuku wa kienyeji nk,but kuongeza biashara si vibaya as long as siibi na wala simtegemehi mtu zaidi ya Mungu Tu.
Volume gani?wanaweza kufika 500pcs? bei ni kiasi gani ,ukiona vipi ni pm na uwezo wako ni kuwapeleka mpka wapi na je unaweza ku maintain hiyo supply kwa muda gani?
Je nikikupa ku supply mifuko 100 ya sukari kila mwezi utaweza?Twende kwenye bizzzz!
 
Jamani poleni na majukum,kiukweli mshahara haunitoshi kabisaaaaaaa,natamani nifanye biashara lakini sijui ni ipi,nina kamtaji ka sh m5,nahitaji ushauri wenu,Mungu awabariki sana


Ulifikia wapi.
Leta bas feedback
 

Mkuu wazo lako nimelipenda nataka kujua wanavuna hayo mazao kuanzia mwez wa ngap na bei yake ikoje pia bei kuwa kubwa kabisa ni mwez wa ngap na inakuwa shiling ngap?
 
Mkuu wazo lako nimelipenda nataka kujua wanavuna hayo mazao kuanzia mwez wa ngap na bei yake ikoje pia bei kuwa kubwa kabisa ni mwez wa ngap na inakuwa shiling ngap?

kwa jinsi nilivyomuelewa , anamanisha mavuno huanza mwezi wa 4-8 na bei huwa juu kati ya mwezi wa 12-3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…