Nisaidieni: 5mil Kuanzia biashara

Fungua sehemu ya massage tuwe tunakuja kupata huduma za migongo migongo.
 
Mtafanya siyo? Haya bana! Kila la kheri!


aha ahahha,si watafanya walichokubaliana? G alikuwa anataka kuku lakini binti ana biashara nyingi,nawe xpin kama unataka sema
 
sijakosea hata kidogo,kuku nimepata faida so kwenye m5 nikataka kuanzisha biashala nyingine,mashat,tshirt etc
Masharts ndo chakula gani? Kama unauza na laptops kumbe ulikosea kuandika milioni 5 badala ya 50 labda?
 
aha ahahha,si watafanya walichokubaliana? G alikuwa anataka kuku lakini binti ana biashara nyingi,nawe xpin kama unataka sema

Mi angekuwa amefungua saluni ya kunyoa nywele aina zote ningekuwa mteja wake wa kudumu!
 

Very good advise, kama soko limepungua kama unavyosema well unaweza ukaangalia biashara nyingine that's not bad idea.

Pearl uko dsm au mikoani? Niko interested na kuku wa kienyeji. Nipe price range.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…