Nisaidieni: 5mil Kuanzia biashara

Nisaidieni: 5mil Kuanzia biashara

mwe Pearl kuna site nyingine iko kule ya mambo ya mabizinesi na mabizinezi ..
mabinamu ushahuri na hekima vinahitajika hapa
Ni kweli kabisa maana ndo waajiri wa baadae wa watoto wetu kama biashara zao zikikua. Tunaleta utani katika hata mambo makubwa! Wote tutaishia kumtumia RA tu? Lol
 
m5 ya nchi gani wewe ????????? , kama ni madafu huna mtaji hapo, anza kuuza chenji kwa utingo wa Hiace inalipa!!
 
m5 ya nchi gani wewe ????????? , kama ni madafu huna mtaji hapo, anza kuuza chenji kwa utingo wa Hiace inalipa!!
Ukubwa wa mtaji hauwezi kufanana kwa biashara zote. Kuna mwingine anahitaji kiasi chini ya hapo na akatoka. wewe toa mawazo ya nini cha kufanya ili yeye ndo aamue kama mtaji wake unatosha au la.
 
Jamani poleni na majukum,kiukweli mshahara haunitoshi kabisaaaaaaa,natamani nifanye biashara lakini sijui ni ipi,nina kamtaji ka sh m5,nahitaji ushauri wenu,Mungu awabariki sana

Ndugu yangu,

Unataja kianzio cha 5m? Hiyo inatosha kufanya biashara nyingi tu ikiwemo deals za kibongo bongo!

Hata hivyo nakuonea huruma kwani hii ikifika uraiani unaweza kuvamiwa na siafu na nyenyere wa kila aina!🙄🙄
 
biashara ziko nyingi ila kuna moja ninataka nikushauri ila inahitaji tuwasiliane au ikiwezekana tuonane ana kwa ana, hapa hakuna utani ni serious, ukiweza nicheki kwa 0762 223 662, kwa kuanza utatakiwa uanze na m2 tatu unaweka pembeni

karibu
 
Jinsia ina nguvu sana! watu wanatoa mapoint tu, angeuliza dume! joke
 
Nafuga mwenyewe dia

Great!😀

Toa darasa;

Yafaa kuanza na nini yaani mandalizi kwa ujumla

Gharama, mazingira ya kufugia; uchaguzi wa aina ya kuku hata ikibidi tupe projections za faida kwa kiasi ambacho unaweza kutupatia mfano kama kianzio!

Ubarikiwe na Bwana!
 
My dia,zamani nilikuwa nafuga mwenyewe but nowdays naona gharama zinakuwa kubwa pia mm niko kazini vijana wanasumbua wat i do nowdays,nachukua oder kwa wiki jmosi nasafiri vijijini kwenda kuchukua mzigo ,jpili nachinja na kupaki kwenye mifuko,jtatu nawapelekea wateja kabla ya kuja kazini
great!:d

toa darasa;

yafaa kuanza na nini yaani mandalizi kwa ujumla

gharama, mazingira ya kufugia; uchaguzi wa aina ya kuku hata ikibidi tupe projections za faida kwa kiasi ambacho unaweza kutupatia mfano kama kianzio!

Ubarikiwe na bwana!
 
biashara ziko nyingi ila kuna moja ninataka nikushauri ila inahitaji tuwasiliane au ikiwezekana tuonane ana kwa ana, hapa hakuna utani ni serious, ukiweza nicheki kwa 0762 223 662, kwa kuanza utatakiwa uanze na m2 tatu unaweka pembeni

karibu

du hiyo 2m ni bishara gani jamani wewe ..weka hadharali cause kila mtu anataka mawazo na ushauli kupitia Pearl
 
My dia,zamani nilikuwa nafuga mwenyewe but nowdays naona gharama zinakuwa kubwa pia mm niko kazini vijana wanasumbua wat i do nowdays,nachukua oder kwa wiki jmosi nasafiri vijijini kwenda kuchukua mzigo ,jpili nachinja na kupaki kwenye mifuko,jtatu nawapelekea wateja kabla ya kuja kazini

Very good My dear ..Big up sana unajitahidi
 
Jamani poleni na majukum,kiukweli mshahara haunitoshi kabisaaaaaaa,natamani nifanye biashara lakini sijui ni ipi,nina kamtaji ka sh m5,nahitaji ushauri wenu,Mungu awabariki sana

Peal, pole sana na mshahara mdogo najua utakuwa kwenye take home ya six digits, nakushauri ufuge kuku wa mayai - pesa uliyonayo inatosha sana kwa kuanzia
hakuna biashara yeyote utafanya zaidi ya hiyo niliyokuambia - inalipa sana na after 5 years utakuwa mbali sana.

kwa hiyo 5m uliyonayo unaweza kuanza na kuku 500 then as you go on utaongeza
 
Back
Top Bottom