Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,303
pearl turudi kwenye hii biashara ya kuku ; naeza kujifunza toka kwako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kabisa maana ndo waajiri wa baadae wa watoto wetu kama biashara zao zikikua. Tunaleta utani katika hata mambo makubwa! Wote tutaishia kumtumia RA tu? Lolmwe Pearl kuna site nyingine iko kule ya mambo ya mabizinesi na mabizinezi ..
mabinamu ushahuri na hekima vinahitajika hapa
Labda unataka kujifunza nn?kufuga au?
Ukubwa wa mtaji hauwezi kufanana kwa biashara zote. Kuna mwingine anahitaji kiasi chini ya hapo na akatoka. wewe toa mawazo ya nini cha kufanya ili yeye ndo aamue kama mtaji wake unatosha au la.m5 ya nchi gani wewe ????????? , kama ni madafu huna mtaji hapo, anza kuuza chenji kwa utingo wa Hiace inalipa!!
Nafuga mwenyewe dia
Jamani poleni na majukum,kiukweli mshahara haunitoshi kabisaaaaaaa,natamani nifanye biashara lakini sijui ni ipi,nina kamtaji ka sh m5,nahitaji ushauri wenu,Mungu awabariki sana
Nafuga mwenyewe dia
great!:d
toa darasa;
yafaa kuanza na nini yaani mandalizi kwa ujumla
gharama, mazingira ya kufugia; uchaguzi wa aina ya kuku hata ikibidi tupe projections za faida kwa kiasi ambacho unaweza kutupatia mfano kama kianzio!
Ubarikiwe na bwana!
biashara ziko nyingi ila kuna moja ninataka nikushauri ila inahitaji tuwasiliane au ikiwezekana tuonane ana kwa ana, hapa hakuna utani ni serious, ukiweza nicheki kwa 0762 223 662, kwa kuanza utatakiwa uanze na m2 tatu unaweka pembeni
karibu
My dia,zamani nilikuwa nafuga mwenyewe but nowdays naona gharama zinakuwa kubwa pia mm niko kazini vijana wanasumbua wat i do nowdays,nachukua oder kwa wiki jmosi nasafiri vijijini kwenda kuchukua mzigo ,jpili nachinja na kupaki kwenye mifuko,jtatu nawapelekea wateja kabla ya kuja kazini
Thx love maisha magum so na ww ukipata soko do kama mm ukishindwa nitafutie dili ntakuja kuuza
Jamani poleni na majukum,kiukweli mshahara haunitoshi kabisaaaaaaa,natamani nifanye biashara lakini sijui ni ipi,nina kamtaji ka sh m5,nahitaji ushauri wenu,Mungu awabariki sana