Nisaidieni: 5mil Kuanzia biashara

Nisaidieni: 5mil Kuanzia biashara

???????
icon8.gif

umeona eeeeeeeeeeeej mpwa!!! kuku tu mtu mpaka na tiketi anataka kumkatia aaaaaaah!!!
 
Jamani poleni na majukum,kiukweli mshahara haunitoshi kabisaaaaaaa,natamani nifanye biashara lakini sijui ni ipi,nina kamtaji ka sh m5,nahitaji ushauri wenu,Mungu awabariki sana

Mkuu uko kipande gani cha Tanganyika? Kama uko bongo....njoo bwagamoyo tulime mananasi mwe..!
 
Si ili kama wana mafua ya kuku arudi nao jamani !!!!

and who says so!!!!!!!!!!!! humu ndani wadumisha mila sio Goeff na Xpin tu!!! wengine wanafanya silently.

mpwa NL wewe je???? dont tell me u dont maana even KKaizer (mzee wa kigangoni)is in the list
 
Bado ni mapema rafiki.
Nitachekwa na kuonekana chizi.
Mezea tu bht.
sawa rafiki ukihitaji mshumaa sema usisite!!! i will be there to light it for you!!
 
.......5milioni ni mtaji mdogo kwa biashara kubwa kubwa.
Kwa kuanzia unaweza kufungua duka dogo la vipodozi na urembo. Unaweza kusafiri mwenyewe kwenda tunduma kuchukua vipodozi.
 
Jamani poleni na majukum,kiukweli mshahara haunitoshi kabisaaaaaaa,natamani nifanye biashara lakini sijui ni ipi,nina kamtaji ka sh m5,nahitaji ushauri wenu,Mungu awabariki sana
Namna rahisi ya kukushauri ni kwamba, mara nyingi utafiti rahisi unaonyesha kwamba vile vitu ambavyo wewe ni mteja mkubwa ndiyo vitu vya mwanzo kabisa kufikiria kuvifanyia biashara. Mfano chakula, mavazi na vitu vingine vya mahitaji ya kila siku.
 
ninayo nafunga hme kwangu but ukitaka nakuletea ulipo kama ni dar
Dada Pearl; hauna sehemu/ofisi ambayo utaelekeza watu waende kuchukua kuku?
 
and who says so!!!!!!!!!!!! humu ndani wadumisha mila sio Goeff na Xpin tu!!! wengine wanafanya silently.

mpwa NL wewe je???? dont tell me u dont maana even KKaizer (mzee wa kigangoni)is in the list

Heeeh...jamani Bht unauliza makofi polisi tena?
 
Back
Top Bottom