Nisaidieni hapa wakuu

Nisaidieni hapa wakuu

Aggrey86

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Posts
853
Reaction score
155
Jamani hivi naruhusiwa kuapply nafasi za kazi zaidi ya tatu kama mwajiri ni mmoja na nafasi zimetoka siku moja lakini ni nafasi mbalimbali mfano hizi za utumishi nafikiri mmenielewa wakuu nisaidieni hapo.
 
Asanteni wakuu kwa majibu,ngoja na mimi nifanye hivyo sasa japo Transcript ndiyo hivyo wahataki lakini no swet Mungu ndo anajua nimechoka kuwa kibarua sasa mtaani.
 
Apply as many as possible.

Ila naomba nami nijue: kwenye application una specify kwamba una apply nafasi Afisa Utawala sehemu fulani let say kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu au ??? Please more clarification is very urgent please
 
mi nimeomba nafasi 48 lakini sijaspesifai kuwa inakwenda ofisi gani kwani kila ofisi inajua mahitaji yake, pia tafadhali rejea tangazo ya kwamba halijasema tufanye hivyo.

good luck
mkuu.
 
mi nimeomba nafasi 48 lakini sijaspesifai kuwa inakwenda ofisi gani kwani kila ofisi inajua mahitaji yake, pia tafadhali rejea tangazo ya kwamba halijasema tufanye hivyo.good luck mkuu.

Shart namba nne linasema hivi:

"Nafasi ya kazi inayoombwa iandikwe katika kichwa cha habari cha barua na juu ya bahasha, kutozingatiwa hili kutasababisha maombi ya kazi kuwa batili"

Muwe mnasoma matangazo kwa umakini. Usishangae ukiona katika maombi 40 uliyotuma hakuna hata moja uliloitwa katika usaili.
Kwa kuwa deadline bado, nakushauri utume tena japo barua 4 na uandike juu ya bahasha kubainisha ni nafasi gani unaomba.
Juu ya bahasha andika kama hivi:

Secretary,

Public Service Recruitment,
Secretariat,
P. O. Box 63100,
DAR ES SALAAM

(APPLICATION FOR CHIEF EXECUTIVE OFFICER
-FISHERIES EDUCATION AND TRAINING AGENCY)

Pia na ndani katika kichwa cha habari fanya kama hivi:

Dear Sir/Madam;

RE: APPLICATION FOR CHIEF EXECUTIVE OFFICER
-FISHERIES EDUCATION AND TRAINING AGENCY

I am applying for the position of Chief Executive Officer at Fisheries Education and Training Agency.
I am................................................
 
mi naona kama unajipa cost,transcript hazitakiwi kwani wengi inasemekana wanazifoji sana.ila try ur best.gud luck
 
Shart namba nne linasema hivi:

Muwe mnasoma matangazo kwa umakini. Usishangae ukiona katika maombi 40 uliyotuma hakuna hata moja uliloitwa katika usaili.
Kwa kuwa deadline bado, nakushauri utume tena japo barua 4 na uandike juu ya bahasha kubainisha ni nafasi gani unaomba.
Juu ya bahasha andika kama hivi:

Secretary,

Public Service Recruitment,
Secretariat,
P. O. Box 63100,
DAR ES SALAAM

(APPLICATION FOR CHIEF EXECUTIVE OFFICER
-FISHERIES EDUCATION AND TRAINING AGENCY)

Pia na ndani katika kichwa cha habari fanya kama hivi:

Dear Sir/Madam;

RE: APPLICATION FOR CHIEF EXECUTIVE OFFICER
-FISHERIES EDUCATION AND TRAINING AGENCY

I am applying for the position of Chief Executive Officer at Fisheries Education and Training Agency.
I am................................................

kama ni la mei 25 unandika KAZI UNAYOMBA TU, E.G AFISA UTAMADUNI NA SI MAHALA UNAPOTAKA KUFANYA, BT LA 28 UNANDIKA VYOTE 2.
 
Back
Top Bottom