Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
una moyo, umeomba mpaka udereva nini?mi nimetuma barua tisa utumishi
Hiviu wanapokea zilizo kuwa typed au ndio handwriting?
handwriting mdau
mi nimeomba nafasi 48 lakini sijaspesifai kuwa inakwenda ofisi gani kwani kila ofisi inajua mahitaji yake, pia tafadhali rejea tangazo ya kwamba halijasema tufanye hivyo.good luck mkuu.
"Nafasi ya kazi inayoombwa iandikwe katika kichwa cha habari cha barua na juu ya bahasha, kutozingatiwa hili kutasababisha maombi ya kazi kuwa batili"
Shart namba nne linasema hivi:
Muwe mnasoma matangazo kwa umakini. Usishangae ukiona katika maombi 40 uliyotuma hakuna hata moja uliloitwa katika usaili.
Kwa kuwa deadline bado, nakushauri utume tena japo barua 4 na uandike juu ya bahasha kubainisha ni nafasi gani unaomba.
Juu ya bahasha andika kama hivi:
Secretary,
Public Service Recruitment,
Secretariat,
P. O. Box 63100,
DAR ES SALAAM
(APPLICATION FOR CHIEF EXECUTIVE OFFICER
-FISHERIES EDUCATION AND TRAINING AGENCY)
Pia na ndani katika kichwa cha habari fanya kama hivi:
Dear Sir/Madam;
RE: APPLICATION FOR CHIEF EXECUTIVE OFFICER
-FISHERIES EDUCATION AND TRAINING AGENCY
I am applying for the position of Chief Executive Officer at Fisheries Education and Training Agency.
I am................................................
zote kazi kama ukiona unaqualify why not.....unajua kukaa kitaa wewe?una moyo, umeomba mpaka udereva nini?