Nisaidieni jamani mwanamke katishia kuniua

Ntaiacha dukani kwa Mangi hapo nje,kuna watu nawawinda wanafikiri wao wajanja wa mjini wasijue nimezaliwa OCEAN ROAD...........😛layball::shut-mouth:

Eti bibie weye ni Mke wa pili au ??
 
Dah!!! Yaani ndio umeamua kukaa na gobole kabisa
 
hahahahah lol
unavituko sana dear...

mmhh mie huyu TF wangu nimeshamzoea..
kama watu wansema kugombana ndani ya nyumba kuana kuza uhusiano
basi sisi number moja..

mmhh hata kabla metch ya soccer lazima tugombane hahah lol
kuna raha yake lakini..

asante kwa ushauri lakini mie nta banana na TF mpaka siku yanishinde kabisa hahah lol

Mwambie aache basi kunifuata fuata na H....wangu

Nimechoka mwenzio,sijui nilimkosea nini mwenzangu

Anataka ondoa riziki yangu niliyoipata kwa nguvu

Akiendelea ipo siku atarudi kwako anatambaa na kawa bubu.........
 
:shock::shock::shock::shock::shock::shock::suspicious::suspicious::suspicious::suspicious::suspicious::faint::faint:
 
Eti bibie weye ni Mke wa pili au ??

Ukisema mke una maanisha nini?? wapo walionitangulia kama ni kwa kufuata taratibu za kikristo kuwa lile tendo ni la mke na mume........wako wengi sana......

Kwa taratibu za kisheria mimi ni namba one,tulikuwa wawili tunaoiwania,nikaibuka mshindi...
 
Mwambie aache basi kunifuata fuata na H....wangu

Nimechoka mwenzio,sijui nilimkosea nini mwenzangu

Anataka ondoa riziki yangu niliyoipata kwa nguvu

Akiendelea ipo siku atarudi kwako anatambaa na kawa bubu.........

uuuwiii jamani
usiniulie aee..
mie bado nampenda ingiwa bado haiingii kichwani kwake hahah lol
 
ukisema mke una maanisha nini?? Wapo walionitangulia kama ni kwa kufuata taratibu za kikristo kuwa lile tendo ni la mke na mume........wako wengi sana......

Kwa taratibu za kisheria mimi ni namba one,tulikuwa wawili tunaoiwania,nikaibuka mshindi...

am in heaven right now!
 
Ukisema mke una maanisha nini?? wapo walionitangulia kama ni kwa kufuata taratibu za kikristo kuwa lile tendo ni la mke na mume........wako wengi sana......

Kwa taratibu za kisheria mimi ni namba one,tulikuwa wawili tunaoiwania,nikaibuka mshindi...

mmmhhhh haya tena..

haya bibie we fuata sheria yeye atafuata vitendo hahahah lol
 
Nimekumbuka ile thread yaani "watu wanaogopa mimba kuliko ngoma"..lol
Back to the topic na wewe mtishie ivyo ivyo....!

Yaani kumbe condom ilitumika purposely kuzuia MIMBA TU! Kazi bado ipo...kubwa tu....
 
akikuua ndo utapata akili kuwa uzinzi ni mbaya...pusi we! akuue tu ili ukienda kuzimu huko ukapate akili nzuri pamoja na shetwain...
 
mmmhh Hute
matusi yote haya ya nini dear..

kwani Ivunga kakukosea nini tu mkuu??
 
Back
Top Bottom