Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
- Thread starter
- #121
hapana sio kifo.mimi sio mungu,ni kujua kama huyo binti ni mjamzito au si mja mzito.
yap !! nishaanza kuhesabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapana sio kifo.mimi sio mungu,ni kujua kama huyo binti ni mjamzito au si mja mzito.
Inaonekana ulifaidi kweli,
ila ngoja, siamini. Hebu weka picha yake na sisi tumuone.. Isije ikawa..............hata Lucy Kibaki akawa na nafuu
tamaa zilimuua fisi ,yaani mkuu mimi nipo kwenye njia panda wewe unafikiria mambo mengine kabisaa badala ya kutoa ushauri? this is too low for JF ahahahahahahaHivi ni akili yangu haiko sawa au?
Ulisema kwamba akigundua kuwa ana mimba yako anatuma watu siyo?
Au labda huko alipoenda hawana kabisa vifaa vya kupima mimba?
Hata kama hawana na ilhali ana wasiwasi kuwa umemnywesha si ataondoka na vifaa vyake toka kwao?
Halafu mkuu kuna ishu ya urithi, unaizungumziaje? Mi nitakusaidia kum-take care Semegi!!!!!!!!
yap !! nishaanza kuhesabu
tamaa zilimuua fisi ,yaani mkuu mimi nipo kwenye njia panda wewe unafikiria mambo mengine kabisaa badala ya kutoa ushauri? this is too low for JF ahahahahahaha
usisahau kutupa matokeo
poa mkuu lazima nitawahit back baada ya kitu kama 2 weeks
Kufa kufaana...
Ok, tunakupa wiki mbili,,, baada ya hapo, tusipokuona tena, tunatangaza msiba.. Ok?
haa Ivuga fasta kamshtaki huyo kwa afande Kova kwamba anakunyanyasa kijinsia!
Ok, tunakupa wiki mbili,,, baada ya hapo, tusipokuona tena, tunatangaza msiba.. Ok?
crap!
Hiyo ni janja ya demu ya kutest strength yako. Unaweza kuni pm nikupe maujanja ya kikubwa. Mkubwa hatishiwi nyau.mkuu naomba unielewe huyu mdada yeye ndio hataki kuipata hiyo mimba
babu lao kama ungekuwa unajua kuwa ukiwa katika high speed ni vigumu kusimama ghafla usingresema kuwa ni uzembe wetu mkuu...suala ni kuwa huyu mwanamke ni kweli hajajiandaa kuwa na mtoto n hayupo tayari kiutoa so hasira zake zote atanitolea alivyodai kama itakuwa imedakaKwa mtu mwenye akili zake hatoelewa.... hivi nyie i.e. wewe na huyo mwanamke mliposikia mziki umechenji beat hamkustuka au ndio mlikuwa mnataka hicho. Acheni utani wenu, mziki wa soksi na mziki stereo ladha tofauti.... Yawezekana kabisa baada ya lile la kwanza mkatupa soksi pembeni... kuweni wakweli tu hapo!!! Pili hakuna msaada mkubwa zaidi ya kuzaa huyo mtoto kama kweli mlimuweka na mmlee pumbavu... kwanza inavoonekana na huyo mwanamke ndo amefurahi zaidi kwani inavoonekana alikuwa anakutega siku nyingi ukawa unachomoa sasa siku hiyo ili awe na uhakika akakukaribisha kwake:A S-fire1:!!!
Hiyo ni janja ya demu ya kutest strength yako. Unaweza kuni pm nikupe maujanja ya kikubwa. Mkubwa hatishiwi nyau.
duh!! we jamaa badala ya kunishauri ndio unaua kabisa man?? kama mafisadi wanavyotuonea kama vile hawatuoniiiMkuu, hebu tulia kwanza... vuta pumzi hlf zitoe taaratibu sana... vema sasa rudia kusoma posts zote za TANMO hlf usiwe na haraka kuzijibu.. sasa fuata ushauri wake mana ulìambiwa kama imedaka utakuwa six feet under si ndio? weka hapa picha ya huyo demu hlf usubiri ku-RIP !!!