Nisaidieni jamani mwanamke katishia kuniua

Nisaidieni jamani mwanamke katishia kuniua

.mpaka sasa hivi sijui bado nifanyeje.
na hii ndio meseji aliyinitumia kabla ya kunipigia simu na kutishia kuniua:
""Omg, man, I'm so angry with you!!! You left a condom inside me!!! What have you been thinking of??? And which one was it? I hope not the one you cumed with??? Cuz if it's the last one, you could get me pregnant!!! Why didn't you tell me it happened?!!!! It's was so ****ing selfish of you... Omg, I'm gonna cry now... You f***d me and left a condom inside me!!! F**!!! Man, it's sooooooo very bad!!!'""
na ni kweli iliyobaki ndani ndio hiyo ambayo mimi nilindani imepasuka

Mpaka hapo sijaona tusi kama ni hilo fu***ck naona haina ishu maana hata ukiwa kwenye nanihii utasikia Fu****ck it hard sasa we ivuga take it easy..

matusi aliyaporomosha kwenye simu sio hapo kwenye meseji na bit nilipigwa kwene simu wakati nambembeleza
 
mwandikie invisible meseji atakuingiza kama unapenda ahahahhaha usiniqoute vibaya tu

thanks mdogo wangu wa hiari ivuga,nafikiri umekubali kuwa mdogo wangu,nitafanya hivyo.muda huu huu
 
Mkuu, hebu tulia kwanza... vuta pumzi hlf zitoe taaratibu sana... vema sasa rudia kusoma posts zote za TANMO hlf usiwe na haraka kuzijibu.. sasa fuata ushauri wake mana ulìambiwa kama imedaka utakuwa six feet under si ndio? weka hapa picha ya huyo demu hlf usubiri ku-RIP !!!
The Following User Says Thank You to Punainen For This Useful Post:

TANMO (Today) TANMO (Today) TANMO (Today) TANMO (Today) TANMO (Today) TANMO (Today) TANMO (Today)​

Ivuga utapenda mwili wako tuuchome au kuzika?? :heh::heh:

Halafu kweli, aseme kabisa.....

duh!! we jamaa badala ya kunishauri ndio unaua kabisa man?? kama mafisadi wanavyotuonea kama vile hawatuoniii

Ungeomba ushauri kabla hujaenda ku-do, so far umechelewa. Kilichobaki kukwambia ni RIP Mpendwa sana Ivuga, tutajitahidi kuiga mazuri utakayoacha (kama yapo lakini) mabaya tutakuacha uende nayo,,,,, ila uniachie ufunguo wa kwenye Jukwaa letu lileeee na akina MR.

hahhahahhahah!! maria roza badala ya kusikitika ndio unaniambia hivi tena?

Jibu swali Bandugu....

ngoja kwanza niambie kwanza jinsia yako...manake si unajua tena?

Duh!
 
The Following User Says Thank You to Punainen For This Useful Post:

TANMO (Today) TANMO (Today) TANMO (Today) TANMO (Today) TANMO (Today) TANMO (Today) TANMO (Today)​

Halafu kweli, aseme kabisa.....

Ungeomba ushauri kabla hujaenda ku-do, so far umechelewa. Kilichobaki kukwambia ni RIP Mpendwa sana Ivuga, tutajitahidi kuiga mazuri utakayoacha (kama yapo lakini) mabaya tutakuacha uende nayo,,,,, ila uniachie ufunguo wa kwenye Jukwaa letu lileeee na akina MR.

Jibu swali Bandugu....

Duh!
wewe jamaa huna huruma hata kidogooo una undugu na mafisadi nini yaani naona wewe unafurahia tu mimi nikigo away sio? sasa hivi nishaungama dhambi zangu zote kwa sir GOD so siogopi kitu
 
uuuhhhhh wiiiiiiiii
jamani
nini tena kulikni Ivunga wangu??
yaani tangu niondoke naona kila mtu anakuambia R.I.P
hadi bibi mzuri Maria Roza anataka kujua kama unataka akuzike au akuchome...

Nini tena jamani.
Mbona hakuna kosa alilofanya wapendwa??
mna mhukumu bure..
mmhh hizi mbona ni zile za Pilato??
 
afro yaani hiyo mistari ulivyoishusha yaani imenisuuza roho yangu utafikiri hakuna kitu kilichotokea
we ni wa ukweli afrodenz nakupenda sana japo sijawahi kukuona na nakupenda kama dada yangu mimi na wewe dam dam.
yaani hiyo mistari mtu yoyote akisoma atakjua kuwa imeandikwa na mtu wa aina gani....mzuri, mrembo, msomi mcheshi yaani mambo kibao tu mazuri
i ..naanza kuwa inlove na hiyo post yako hapo dada yangu .
 
Pole kaka yangu Ivuga, unajua kaka wakati mwingine kuna mambo yanatokea ktk maisha yetu ili tujifuinze kumtegemea Mungu. Ni kweli tumemkosea Mungu ktk hili na mengine mengi, lakini Mungu ni mwenye huruma na Neema.

Najua hakuna anaeweza kuielewa hali uliyonayo kwa kina zaidi ya wewe mwenyewe na Mungu labda na shetani.
Kwa hiyo naomba mshirikishe na Mungu pia, akusaidie kuvuka hapo. Mi naamini Mungu huyu wa huruma atakusaidia. Unajua siwezi kusema moja kwa moja kwamba huyu dada hawezi kufanya hicho anachokifikiria kwa sababu hatupo kwene nafsi yake hata tuone uchungu alionao, sio rahisi aamini kwamba wewe hukujua kama huo mpira ulibaki ndani yake, na ukiangalia hicho kinamuuma achilia mbali swala la mimba.

So muombe Mungu na mimi nitakuombea amtulize huyo dada, apunguze hasira, kuwa mpole kadiri uwezavyo huku ukimtegemea Mungu, ili Mungu ampe kuona hukukusudia hilo. Halafu mambo yatakwenda vizuri tu.

Huku ukizingatia yale waliokushauri wapendwa wengine hapo juu. Hakuna aliyemtumainia Mungu akaaibika hata siku moja.
 
oohhh dear ,dear
asante dear
lakini sidhani kama nastahili hizo sifa zote dear..

Mie sijui kama hii story yako ni ya kweli au la
lakini si vizuri kila mtu kukuangukia dear..
wahitaji ambao watakuwa pembeni yako dear..

ni mambo madogo tu hayo dear..
kama ungeua mtu.
hilo lingine kwani hatuwezi kumrudisha..
na tusingeweza kufurahisha moyo wako dear

lakini mybe just mybe
watusaidia kuongeza idada ya watanzani
kwa hiyo hakuna ubaya hapo dear..
pressure ni sasa tu dear
lakini kimwana kikisha kuja
wanaotaka kukuzika ndo wa kwanza kukuletea zawadi dear lol
 
thanks a lot !! and God bless you kwa ushauri wako mkuu,nimeupenda ushauri wako na ni kweli namshirikisha sitaacha kumshirikisha kwa sababu sijui hali ya huyu dada mapaka sasa hivi
 
thanks a lot !! and God bless you kwa ushauri wako mkuu,nimeupenda ushauri wako na ni kweli namshirikisha sitaacha kumshirikisha kwa sababu sijui hali ya huyu dada mapaka sasa hivi

Karibu kaka angu, ni maombi yangu uje na habari njema ya usalama wako, na wake na furaha na amani kwa jinsi yoyote ile. Kwamba kuna mtoto ashukuriwe Mungu, kwamba hakuna ashukuriwe pia.
 
oohhh dear ,dear
asante dear
lakini sidhani kama nastahili hizo sifa zote dear..

Mie sijui kama hii story yako ni ya kweli au la
lakini si vizuri kila mtu kukuangukia dear..
wahitaji ambao watakuwa pembeni yako dear..

ni mambo madogo tu hayo dear..
kama ungeua mtu.
hilo lingine kwani hatuwezi kumrudisha..
na tusingeweza kufurahisha moyo wako dear

lakini mybe just mybe
watusaidia kuongeza idada ya watanzani
kwa hiyo hakuna ubaya hapo dear..
pressure ni sasa tu dear
lakini kimwana kikisha kuja
wanaotaka kukuzika ndo wa kwanza kukuletea zawadi dear lo
l
aya aya aya !! afrodenzi afrodenzi.
ningekuwa na pesa ningekupa penzi
na nashukuru kwa mistari yenye hisia za mapenzi
siwezi kukutamani kimapenzi
lakini utamu haukosi kwenye lako penzi

afrodenzi dada yangu nakupenda
japokuwa mimi sio mpemba
nitakupa mambo motomoto kama marashi ya pemba
hii stori ya leo ni kweli imetpokea na wala sio pumba,
na nikija kutana na wewe tutakuwa ndani ya chumba
na yatakayotokea yanabakia humuhumo ndani ya nyumba

afrodenzi mtoto mzuri
leo umenifariji hadi najisikia vizuri
kuna mchawi anajiita TANMO alinifanya nisijisikie vizuri
mimi sio mtaalamu wa mashauri

aaa nimeshindwa kuendelea bana to a:A S kiss:frodenzi
 
ooohhh dear
umenigusa panapotakiwa lol
mie mashahiri yananilegeza sana
hahahha lol

mmhh nawe naona karibu utaingia kwenye listi yangu..
ya ma great thinker wa poem lol

unajua kitu kimoja nilicho jifunza katika maisha yangu
ni hiki
"kila kitu unachoona ni kibaya, kina uzuri kuliko ubaya"
" na kila kitu unachoona kizuri , kina uzuri na ubaya wake"

anyway kama jinsi ulivyo tuelezea huyu dada sidhani ni mjamzito..
lakini hata kama anaye uwe na furaha, na mshuku Mungu..

unajua watoto wengi waliozaliwa nje ya ndoa watu husema ni "bad Luck"
lakini haiwezi kuwa hivyo maana Mungu kakupa huyo kwa reason zake..
sasa hivi hatumtaki..
lakini kumbe ndo huyo atawaokoa wana wa Israeli hahahahah
labda ndo huyo atakuja kuikomboa TZ..
tulio kulia na single parent hatuangalii sasa hivi tu dear
twaangalia sasa, kesho na miaka 50 inayokuja dear..

kama nimeanza kuwa bored na maandishi yangu
niambie dear
maana wajua sinyamazagi hahahah lol
 
hahahaha afro we ni mkali ila hilo suala kuwa mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa ni badluck mimi sijakubaliana nalo hata kidogo kwa sababu hakuna tafiti hata moja ya kisayansi inayodhihirisha hili
na mimi dear sikatai mtoto hata siku moja na hata kama bahati ikitokea mimba ikashika nitashukuru Mungu labda binti atakuwa amerelax
then who will be the next? youuu? ahha ausiogope mi sio kiwembe kiivo:A S kiss:
 
mmhh huo ndo ukweli
hakuna cha bad luck wala nini..
yote ni Good Luck na baraka lol

nway ntarudi kuku check nani anakuangushia mabomo tena baadaye..
maana kila mtu atakuja na opinion zake kuhusu hili..
wala hata wasikupe pressure dear
Chill out, relax, take a dip breath....
halafu msubirie AD arudi haha lol

haya mie ndo huyo kazii tutaonana baada ya masaa 8 dear..
Take care, take slowly and take it easy ..
lots of love
AD
 
r01.jpg
7c8260ed2043759e2ff8dab6091562dd.jpg

Afrodenzi mtoto wa kiafrika
kwa heri ya kuonana na mola akupe zake baraka
na zawadi ya maua nimekuaptia na wala sio takataka
umeisuuza roho yangu na imetakata,kama mtu asiye na mashaka

afrodenzi siwezi hesabu baraka zote, kwani nyingine sinto zitambua
Kama nyota za mbinguni kule, jaribu wewe kunihesabia
Ingawa nina matatizo mengine, siwezi tupia MUNGU lawama
Kukosa viatu nijililie, je mkosa miguu si atajinyonga?
Ingawa ulimwengu hauna simile, NAHESABU BARAKA
leo upo nami bila simile,na uwepo wako nautambua
ee mola inabidi nikulilie,afrodenzi aweze tambua

ngoja nimalizie hapa, nisije vuka mpaka
nakuheshimu we dada ,afrodenzi mama afrika
japo naishi kwa shaka,ila mola hana mipaka
ataniepushia hii shida,kwani sikuitaka
mimi binadamu nna makosa ,mbele zake kutubu sintoacha
msamaha kwa wadada na wamama,ndani ya jf na kila kona
nitawapenda daima,na kuwaheshimu kila masaa
hatakama mauti itanikuta ,ila msamaha nishawaomba
sikujua kuwa yatanikuta ,makubwa kama haya
na bahatimbaya nikijaondoka,mpeni ujumbe wangu bila haya
asipelekwe mahabusu wala jela,wala kumsumbuasumbua
mawakili na wanaharakati hapa,najua mtamsaidia

hii stori ni ya kweli guys !!!!na nawashukuru wote kwa ushauri
 
Inatokea na naweza muelewa huyo dada,its so frustrating.Mara nyingi watu hufikiri ni makusudi ila waga ni bahati mbaya.........

Mpe muda atatulia na mtajadili vizuri lolote litakalojitokeza,lazima achanganyikiwe kwa sasa,watu wana malengo yao ati.....

Pole sana Ivuga

maneno ya busara kweli haya
 
Back
Top Bottom