Nisaidieni jamani mwanamke katishia kuniua

Inaonekana ulifaidi kweli,
ila ngoja, siamini. Hebu weka picha yake na sisi tumuone.. Isije ikawa..............hata Lucy Kibaki akawa na nafuu

we jamaa sio kabisa yaani hapo ni vitu viwili tofauti kabisa ...wewe bit la Jay Z umeanza kushusha mistari ya hadija kopa sasa wapi na wapi ?
 
tamaa zilimuua fisi ,yaani mkuu mimi nipo kwenye njia panda wewe unafikiria mambo mengine kabisaa badala ya kutoa ushauri? this is too low for JF ahahahahahaha
 
tamaa zilimuua fisi ,yaani mkuu mimi nipo kwenye njia panda wewe unafikiria mambo mengine kabisaa badala ya kutoa ushauri? this is too low for JF ahahahahahaha

Kufa kufaana...
 
Ok, tunakupa wiki mbili,,, baada ya hapo, tusipokuona tena, tunatangaza msiba.. Ok?

huwezi kutangaza mpaka upate taarifa halafu wewe mbona una papara na haraka hivi/? utafikiri mafisadi wanavyoktaka kuilipa dowans
 
haa Ivuga fasta kamshtaki huyo kwa afande Kova kwamba anakunyanyasa kijinsia!
 
Kwa mtu mwenye akili zake hatoelewa.... hivi nyie i.e. wewe na huyo mwanamke mliposikia mziki umechenji beat hamkustuka au ndio mlikuwa mnataka hicho. Acheni utani wenu, mziki wa soksi na mziki stereo ladha tofauti.... Yawezekana kabisa baada ya lile la kwanza mkatupa soksi pembeni... kuweni wakweli tu hapo!!! Pili hakuna msaada mkubwa zaidi ya kuzaa huyo mtoto kama kweli mlimuweka na mmlee pumbavu... kwanza inavoonekana na huyo mwanamke ndo amefurahi zaidi kwani inavoonekana alikuwa anakutega siku nyingi ukawa unachomoa sasa siku hiyo ili awe na uhakika akakukaribisha kwake:A S-fire1:!!!
 
mkuu naomba unielewe huyu mdada yeye ndio hataki kuipata hiyo mimba
Hiyo ni janja ya demu ya kutest strength yako. Unaweza kuni pm nikupe maujanja ya kikubwa. Mkubwa hatishiwi nyau.
 
babu lao kama ungekuwa unajua kuwa ukiwa katika high speed ni vigumu kusimama ghafla usingresema kuwa ni uzembe wetu mkuu...suala ni kuwa huyu mwanamke ni kweli hajajiandaa kuwa na mtoto n hayupo tayari kiutoa so hasira zake zote atanitolea alivyodai kama itakuwa imedaka
 
Hiyo ni janja ya demu ya kutest strength yako. Unaweza kuni pm nikupe maujanja ya kikubwa. Mkubwa hatishiwi nyau.

ahajhakuu nita kupm ..huyu binti alikuwa hatishii nyau atii
 
Mkuu, hebu tulia kwanza... vuta pumzi hlf zitoe taaratibu sana... vema sasa rudia kusoma posts zote za TANMO hlf usiwe na haraka kuzijibu.. sasa fuata ushauri wake mana ulìambiwa kama imedaka utakuwa six feet under si ndio? weka hapa picha ya huyo demu hlf usubiri ku-RIP !!!
 
Ivuga utapenda mwili wako tuuchome au kuzika?? :heh::heh:
 
duh!! we jamaa badala ya kunishauri ndio unaua kabisa man?? kama mafisadi wanavyotuonea kama vile hawatuoniii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…