Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
- Thread starter
-
- #141
Ivuga utapenda mwili wako tuuchome au kuzika?? :heh::heh:
hahhahahhahah!! maria roza badala ya kusikitika ndio unaniambia hivi tena?
Hahaha nipo kikazi hapo nataka nipate tenda :A S-omg::A S-omg:
kwa hiyo hapo ipi ambayo inalipa?
Kwa sababu ur my X nitakupa discount ya kuchoma :A S kiss::A S kiss::A S kiss:
nipo fresh na mwanamke alikuwa sipo kiwembe so kwenye suala la ngoma hapo hakuna shaka mkuu
Una mwaminije kama sio kiwembe kwani viwembe wana alama?
nina uhakika man ..kwa nini niwafiche ha[a? kama ningekuwa na wasiwasi wa kuyakanyaga nisingeficha kitu hapa ila waswasi ni mmoja tu kupotezwa bado nikiwa kijana
nina uhakika man ..kwa nini niwafiche ha[a? kama ningekuwa na wasiwasi wa kuyakanyaga nisingeficha kitu hapa ila waswasi ni mmoja tu kupotezwa bado nikiwa kijana
mkuu tabu hakuna hapo ingekuwa watoto wa joli au buguruni ndio ingekuwa na tabuUna mwaminije kama sio kiwembe kwani viwembe wana alama?
poa mkuu lazima nitawahit back baada ya kitu kama 2 weeks
:nod::A S angry::A S angry::A S angry::doh::doh:
mmmh,una visa wewe.napenda uwe mdogo wangu wa hiyari
hahahah !! sikatai tena ningefurahi sana ...mzima lakini weye?
Umejuana naye siku tatu tu umeshalala kwake, kuna siku utalala na jini vijana.
Hili ni somo toka kwa Mungu, labda umezidi. Kama umeoa tulia na wako na kama hujaoa tafuta wa kutulia nae. Unakoenda si pazuri.
mzima kabisa,leo ninakesha jf
angalia tu usije ukaenda kulala kwenye jukwaa moja la watu wenye umri zaidi ya miaka 18
haaa haaaaa,napenda niingie huko,ila sijui unaingiaje