nisaidieni jamani mwenye kujua dawa ya hii kitu

iron woman

Senior Member
Joined
Apr 22, 2013
Posts
147
Reaction score
19
ni vipele ambavyo siyo chunusi na hata ukiviminya havina kitu ndani ila kuna kipind vinatutumka zaid vilianza vichache sana hqpo kifuani mwaka ukapita ila vinazid kuongezeka na vimepanda hapo shingoni sasa vinaanza kutokea usoni.
 
Attachments

  • IMG-20150509-WA0004.jpg
    IMG-20150509-WA0004.jpg
    23.7 KB · Views: 748
pole my dear
hauna aleji kweli

ay ndo upo balehe!?!
 
ni vipele ambavyo siyo chunusi na hata ukiviminya havina kitu ndani ila kuna kipind vinatutumka zaid vilianza vichache sana hqpo kifuani mwaka ukapita ila vinazid kuongezeka na vimepanda hapo shingoni sasa vinaanza kutokea usoni.

POLE! subiri wataalam waje, kwangu mimi mchanga bado.
 
Kuna huu Udongo ukifanyia scrub kama ni vipele nilivyovielewa vinaisha kabisa
 
udongo gani huo ndugu Hornet naomb niekekeze unapatikanaje?
 
duh!pole sana ila kuna mti fulani unaitwa LIWA,unatumika ukiwa umekauka na unausaga kwenye jiwe gumu kwa kuchanganya na maji kidogo na ule mchanganyiko wake unapaka sehemu zilizoathirika,wale waislam wanaouza dawa za kisunna au kina mama makungwi wa kufunda maharusi wanakuwa nao huu mti kwa kuwapaka bibi harusi siku chache kabla ya ndoa
 
Jaribu kubadilisha na godoro unalolalia. Kama ni la miaka mingi nunua lingine.
 
duh!pole sana ila kuna mti fulani unaitwa LIWA,unatumika ukiwa umekauka na unausaga kwenye jiwe gumu kwa kuchanganya na maji kidogo na ule mchanganyiko wake unapaka sehemu zilizoathirika,wale waislam wanaouza dawa za kisunna au kina mama makungwi wa kufunda maharusi wanakuwa nao huu mti kwa kuwapaka bibi harusi siku chache kabla ya ndoa

asante ndugu ngoja nijaribu kuutafuta
 
Tumia kitunguu saumu kinaweza kukusaidia.
Pole sana dada.
 
Aache kula hayo mayai na kuku haraka... atafute chakula bora!!! hiyo yaweza kuwa alerji!!
 
Ningekushauri unnywe kitu cha kysafisha damu yako pamoja na maji mengi.So nenda kw daktari ujiue ni wadudu gani hasa wameky athiri ili unye dawa kulilingana na wadudu hao....usiogope kwenda kwa daktari ..magonjwa tunaambukizwa hata vyooni.
 
pole.
asitumie sabuni za chemicals, wala creams. kama unaumri chini ya miaka 25 wala usiogope vitaisha vyenyewe ila usafi hapo muhimu sehemu unayolala na nguo unazovaa. kama hutojali kifuani usipake mafuta yoyote baada ya kuoga. Usoni nako usijisugue na kitambaa kigumu. Epuka kujishika usoni huku mikono ni michafu, nawa kabla ya kuuhudumia uso.
 
asante danny sijawahikutumia vitu vya chemicals hata mafuta napaka ya watoto.
nitajitahidi kuzingatia yote
 
duh!pole sana ila kuna mti fulani unaitwa LIWA,unatumika ukiwa umekauka na unausaga kwenye jiwe gumu kwa kuchanganya na maji kidogo na ule mchanganyiko wake unapaka sehemu zilizoathirika,wale waislam wanaouza dawa za kisunna au kina mama makungwi wa kufunda maharusi wanakuwa nao huu mti kwa kuwapaka bibi harusi siku chache kabla ya ndoa

nadhani itakuwa riwa hiyo
 
Back
Top Bottom