iron woman
Senior Member
- Apr 22, 2013
- 147
- 19
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni vipele ambavyo siyo chunusi na hata ukiviminya havina kitu ndani ila kuna kipind vinatutumka zaid vilianza vichache sana hqpo kifuani mwaka ukapita ila vinazid kuongezeka na vimepanda hapo shingoni sasa vinaanza kutokea usoni.
Kuna huu Udongo ukifanyia scrub kama ni vipele nilivyovielewa vinaisha kabisa
udongo gani huo ndugu Hornet naomb niekekeze unapatikanaje?
upo mkoa gani?
duh!pole sana ila kuna mti fulani unaitwa LIWA,unatumika ukiwa umekauka na unausaga kwenye jiwe gumu kwa kuchanganya na maji kidogo na ule mchanganyiko wake unapaka sehemu zilizoathirika,wale waislam wanaouza dawa za kisunna au kina mama makungwi wa kufunda maharusi wanakuwa nao huu mti kwa kuwapaka bibi harusi siku chache kabla ya ndoa
Tumia kitunguu saumu kinaweza kukusaidia.
Pole sana dada.
pole.
asitumie sabuni za chemicals, wala creams. kama unaumri chini ya miaka 25 wala usiogope vitaisha vyenyewe ila usafi hapo muhimu sehemu unayolala na nguo unazovaa. kama hutojali kifuani usipake mafuta yoyote baada ya kuoga. Usoni nako usijisugue na kitambaa kigumu. Epuka kujishika usoni huku mikono ni michafu, nawa kabla ya kuuhudumia uso.
asante danny sijawahikutumia vitu vya chemicals hata mafuta napaka ya watoto.
nitajitahidi kuzingatia yote