Nisaidieni Jamani

mimi naona wigi ndo tatizo kubwa hapa,mpeni maushauri ,plastic surgery haitosaidia kweli? mbona michael jackson alifanywa mzungu bwana?
Lol...Smile plastic surgery, madaktari wakigoma tena itakuwaje...
 
Wanaume nyie kwa kupenda kwa fashion hamjambo!
Sasa Kipipi kuliko kukukimbia si bora nikulipie hela uanze kwenda Gym...btw fashion sio mbaya ila ikizidi kipimo na yenyewe huwa sio nzuri
 

Smile dear, kwa hiyo wewe unakuwa natural ili mwanaume akupende kama ulivyo....na sio kwamba wewe kama wewe ndo wapenda kuwa hivyo?? So, all those juhudi za kujikeep uvutie ni kwa ajili ya mwanaume akuone??
 
Hayo ndio madhara ya wasichana wanene kwa nje wakiwa kwenye mavazi yao huwa wanavutia ila akivua ma urembo ndo utajua kuwa ni mtu au kiboko.
 
Smile dear, kwa hiyo wewe unakuwa natural ili mwanaume akupende kama ulivyo....na sio kwamba wewe kama wewe ndo wapenda kuwa hivyo?? So, all those juhudi za kujikeep uvutie ni kwa ajili ya mwanaume akuone??
nipo jinsi nilivo kwa sababu napenda kuwa hivo kipipi.na kama mwanaume ananipenda anipende hivohivo
 
Hayo ndio madhara ya wasichana wanene kwa nje wakiwa kwenye mavazi yao huwa wanavutia ila akivua ma urembo ndo utajua kuwa ni mtu au kiboko.


Hahahahhahahahaha..........lol. Huo ni unyanyaa kaka yangu...........i nid a loya pls.
 
Nina wasi wasi na kauli zako!!
Kwa tumbo unalolisemea kiuhalisia halifichiki,means tangu siku ya kwanza unamuona na kuamua kumtokea uliliona,
Labda unishawishi kuwa ulijidai hulioni ili ummege na kumaliza kiu yako hapo sawa,
Na nina iman utakua ushamega zaidi ya mara moja ila cha kushangaza ulikua hujali unaendelea kula mzigo sasa ndio unaona tumbo!!

Ninachodhan hapa inawezekana umeyaona hayo baada ya kumaliza hamu zako,au umepata mpnz mpya na huyo humtaki tena ndio maana unaona kasoro zake,au marafiki zako wamemtoka kasoro hiyo na kukushangaa ww kuwa naye,
Unachofanya sasa ni kutafuta jastifikashen ili umwache,
Ingekua ww unagundua mtu aliyejidai anakupenda siku zote na kukutumia na sasa anajidai kutafuta namna ya kukuacha ungejisikiaje?

Cha kufanya kwa vile umeshaamua kumuumiza mwambie ukweli kwan hakuna namna ya kutomumiza ile hali humtaki tena!

Na siku ingine kabla hujamfanya mtu akupende hakikisha umeshajitambua unajua unachokitaka na una uhakika kwa kipo ndio umtokee!

Na ukumbuke kwenye mahusiano au maisha ya ya ndoa out look ya mtu hua haina umuhim mkubwa inner look km tabia na vitu vingine ambavyo havibadilishiki kwa mtu,

Lkn vitu km matumbo sjui mawigi au mwonekano km unampenda kwa pamoja mnaweza virekebishika na akawa vile utakavo.
 
u never love her from the beginning sema ulikuwa unamtamani tu kwa nje ili ukate kiu yako..ushamvua nguo ukauona mwili wake ukauchezea mpaka ukachoka sasa ndio unaona hafai..mapenzi ya dhati hayana macho ndio maana unakutana na watu wana sura na shape mbayaa na bado wenza wao wanaowajali na kuwapenda kwa dhati..
 
acha kujitetea
punguza tumbo na wigi vua
 
acha kujitetea
punguza tumbo na wigi vua
Hahahha hahahaha hahahah,
Uwiiiiiiiiiiii,jaman mamito!
Nnini kuniumbua ivo?
Kwani hakuyaona yote hayo siku ya kwanza?
Wigi sitavua coz linanifanya nionekane km beyonce chezeiya mchina ww!!
 
umepata sababu tu ya kutaka kumuacha.na ukimpata mwenye figure no.8 baadae utakuja kumtoa kasoro tu.ooh kitandani zero,hana taste.bora huyo mwenye tumbo kama ana tabia nzuri mfahamishe afanye mazoezi,tena msaidie maana mazoezi nayo sio kazi ndogo.na kuhusu wigi,wadada wengi wa mjini ni wachache mno wanakubali kuwa na nywele zao natural.asie na wigi ana weaving,na asie na weaving ana lace wig
 
acha uoga kama anakupa maniaje kwa bed na unakua unaridhika min ni mwepesi doesnt mater coz inaonekana ulimpenda akiwa amevaa na kama akivaa tumbo halionekani akieka wigi unampenda basi alale na wigi dat iz ma advice try ur best hakuna ambacho hakina kasoro wengine hawana matumbo lakini KOROGWE ni kisima!
 
mbona mimi sina hebu nicheki
 
Hahahaha!!! NN umenikumbusha kuna kitongoji kimoja states wanaishi wamexico kibao...halafu hizo tacos na chalupas hapo ndio kwao umewafikisha...

Wapi huko? El Paso?

Arif usifanye mchezo na chalupa bana. Zina calorie balaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…